DOKEZO Vyombo vya ulinzi na Usalama taarifa hii naomba muichukulie kwa uzito mkubwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Lolote laweza kuwa agenda ya hao wauaji. Tz ni nchi yenye uongozi dhaifu usio na uzalendo, zaidi ni wizi tu, unaweza kuusoma na kuuchezea kiurahisi tu.

Ona huko Kigoma watu wanavyokamatwa kiholela, na kubambikiwa ukimbizi. Mtu hatembei na vizuri uthibitisho wa kuzaliwa Tz, akiwa katika taratibu za kuthibutisha, unasikia kapotea, na mara maiti yake imeokotwa, kukiwa na ushahidi wa mazingira ya rushwa pia.

Kwa utaratibu huu, hao mauaji wanajua wakileta fitna hizi, jinsi kiurahisi tu zitakavyoanza kuligawa hili taifa kubwa, tuanze kuuana, kubaguana kufukuzana kama inavyowatokea Wamaasai.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Rwanda ipo siku tutaitawala EA yote na hakuna atakayekohoa.
Genetically Abaha wanafanana na wahutu, by 80%, hawana neno hao kwetu, Tanzania ndio kwa mbeleni sana, Rwanda itakuwa kama zanzibar tu, tena itakuwa na amani ya ukweli, Amini hili. /
E. A, ni muhimu zikawekeana mikataba itakayozuia nchi miongoni kumiliki silaha za nuke! (future wise)
 
Tatizo ni kwamba waliopo kwenye vyombo vya ulinzi wengi wao elimu zao za kuunga unga tu ndiyo maana hawatumii weledi na akili
 
Makamu wa Rais ni Muha na anatokea mpakani kabisa
 
Hivi umeelewa alichoandika mleta mada? Na umepewa likes kabisa na Wasioelewa wenzio. JF ya sasa tuna upungufu mkubwa wa watu wa mijadala compared to 2010s.

Issue sio mtu atoke Rwanda avuke now kwa kujipenyeza penyeza na kujifanya ni Muha (Mha), Bali ni watu waliojikuta wako Tanzania baada ya mipaka kuwekwa na wakoloni Lakin originally ni Warwanda.

Sema hoja ya mleta mada inakosa mashiko sababu Rwanda-Burundi zilikua ni sehemu ya Tanganyika hivyo hata kama kuna Waha wa Rwanda nao walikua sehemu ya Tanganyika before, so wamerudi tu kwao. Sio kwa dhana ya upandikizi kama anavyotaka kutuaminisha.
 
Mtoa mda umeongea kwa uchungu sana, nimeuona uzalendo ktk kila neno lako.
Hongera kwa hilo.

Eti b… hili tuliweke kwenye various issues au tuliache?
Mdakuzi
Siku hizi na wewe umekua kipepeo mweusi.. kweli ukitembea na mwizi, utakua mwizi tu!
 
Huyo Rwanda ni unit ndogo sana katika threat,hata intelligencea yake ni ndogo pia kulinganisha na Tanzania...
 
Kagame aliwahi kuahidi kumpiga Kikwete. Sina hakika kama aliwahi kufuta Kauli hii.

Anyway, Rwanda sio majirani kwa kujisahaulisha sana.
 
Mkuu bila CCM hakuna Tanzania.
Na CCM sio watu ni taasisi
Japo mi siipend ccm, ila kwa hili nakuunga mkono chief. Kwakifup nchi hii nje ya ccm hakuna taasisi yoyote ya kisiasa iliojiandaa kulitawala kwa weled taifa hili.
Vvyama vyooote vya siasa nje ya ccm ni tuvikundi tuu ambati hatuna mbele wa nyuma.
 
Wabongo tunapenda Sana kujifariji laiti tungejua,hao miamb wanawatu wao Hadi wa kufoji vyeti na kuingizwa jeshini rasmi

Siibez nchi yangu,ila hakuna muda wa kua makini hivi sasa na baadae
Sasa mbona uko biased mkuu, kama wamejipenyeza huku, wao ni nan hasa mpaka sisi tusijipenyeze kwao?.
Tena huenda sis tumepenyeza watu wao hao hao wafanye kaz yetu maana ogopa sana nchi ikishakua ya migawanyiko
 
Tatizo ni kwamba waliopo kwenye vyombo vya ulinzi wengi wao elimu zao za kuunga unga tu ndiyo maana hawatumii weledi na akili
Wenye elim za kuunga hao unaowasema ndio wanaokuweka salama ukawa hur kupost na kunya bila ghasia.
Haya tuonyeshe wewe na wenzako mlio na elimu smart mmefanya kitu gani?

Kwakifupi, nyie mmesoma tu ila elimu hamna zaid ya chenga chenga.
 
Mbona povu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…