Tetesi: Vyombo vya Usalama vilivyojipanga kumpokea Tundu Lissu

Uhamiaji hawawezi kupoteza muda wao kuangalia "madhumuni ya safari" kwa MTANZANIA anayerudi Nchini. Usipotoshe. Au na Uraia mlishamvua?

Unaelewaje ikisemwa mtu fulani yuko "flagged"?
 
Sijui ni kwanini Siku zote Mbwa hupenda sana Kujipeleka kwa Nyoka aina ya Chatu ili akamezwe na Kuuwawa nae hata kama ukijitahidi Kumzuia.
 
Unaelewaje ikisemwa mtu fulani yuko "flagged"?
Kila anayekuwa "flagged" kunakuwa na potential cause iliyoraise hiyo alarm. My point is Uhamiaji hawawezi kumuhoji Karumanzila madhumuni ya safari yake kurudi Tanzania. Kama ameshakuwa flagged, watamuhoji vitu vingine concerned na related suspicions.
 
Sijui ni kwanini Siku zote Mbwa hupenda sana Kujipeleka kwa Nyoka aina ya Chatu ili akamezwe na Kuuwawa nae hata kama ukijitahidi Kumzuia.
Swali zuri sana ndugu yangu, but umeliuliza rhetorically, je we unafikiri ni kwa nini basi? kama shule na wewe pia unayo na ni mchambuzi huru... nimesoma humu ndani kwenye moja ya articles unauliza shuleni watu wanaenda kufanya nini... nami nikuukize utupe maoni yako kuhusu swali la Mbwa na Chatu kama ulionavyo....
 
Sijui ni kwanini Siku zote Mbwa hupenda sana Kujipeleka kwa Nyoka aina ya Chatu ili akamezwe na Kuuwawa nae hata kama ukijitahidi Kumzuia.
 
Sijui ni kwanini Siku zote Mbwa hupenda sana Kujipeleka kwa Nyoka aina ya Chatu ili akamezwe na Kuuwawa nae hata kama ukijitahidi Kumzuia.
Bila mbwa hata chatu atakosa kazi ya kufanya.
 
Watamzuia tu kama kuna active warrant ya kukamatwa kwake - warrant ya mahakama-
Kama ni police, itabidi wamkamate kwa kosa watakalomuambia amefanya ndani ya mipaka ya Tanzania... maana kwingineko huko, sheria za Tanzania hazina jurisdiction... sheria zetu zinauma tu kwa makosa yaliyofanyika ndani ya mipaka ya Tanzania- nikosoeni kama nimekosea
 
Hivyo ulivyoweka mbona vichache sana? Ungeweka na vingine vingi viongeze vikwazo. Ila tunajua Lisu ni raia halali wa nchi hii na anarudi nyumbani, baada ya shambulio la kinyama la kutaka kupora uhai wake. Mengine yote ni mbwembwe tu.
 
Sijui ni kwanini Siku zote Mbwa hupenda sana Kujipeleka kwa Nyoka aina ya Chatu ili akamezwe na Kuuwawa nae hata kama ukijitahidi Kumzuia.
GENTAMYCINE,hivi jana ulilala upande gani wa kitanda na umeamukia upande gani ndugu yangu? si angalu tu ujibu hilo swali mwenyewe au unataka kuwapa Moderators kazi ya ziada... wewe ni mtu ambaye huwa nasoma sana post zako humu, ila na leo ulitoa maneno makali sana kwa member mmoja aliyekuita Gent badala ya GENTAMYCINE. Si siku yako kwa kweli. ni swali hilo hilo umeshikilia...
 
Aliyekuambia Lissu ni mgeni nchi hii ni nani? Mods hebu punguzeni hizi mada za kisengerema tumechoka nazo.
 
Unaelewaje ikisemwa mtu fulani yuko "flagged"?

Tunajua vizuri, na hiyo itatumika kwa Lisu kwa nia ovu tu. Lissu sio mkimbizi wa kisiasa bali ametoka kwenye matibabu, na anarudi nyumbani. Na sio kurudi tu, anarudi na anataka kugombea urais. Na rais aliyepo hana uwezo wa kushindana naye kwenye uwanja wa kisiasa, hivyo atatumia madaraka yake vibaya kuzuia mshindani asiyemmudu. Hayo matisho mengine yote, yapo juu ya hofu ya ushindani wa box la kura kwa rais aliye madarakani, ndio maana mamlaka zinatumika kwa maslahi binafsi ya rais aliye madarakani. Kwahiyo vikwazo vyote kwa Lisu ni kwa ajili ya kiburi na ulevi wa madaraka, as simple as that.
 
Lissu anafahamika Ni mtanzania halis, labda angekuwa mgeni.ushauri wangu uhamiaji hamuhitaji kupoteza muda na lissu Huyo Ni RAIA halali kabisa.wasituwekee foleni pale uwanja Wa ndege
 
Yaani umzuie Mtanzania kurudi nchini?

Kama ana makosa, mkamateni pelekeni polisi akashitakiwe lakini huwezi kumzuia kurudi nchini mwake.
 
Sijui ni kwanini Siku zote Mbwa hupenda sana Kujipeleka kwa Nyoka aina ya Chatu ili akamezwe na Kuuwawa nae hata kama ukijitahidi Kumzuia.
alivyoumbwa anapenda kuminywaminywa bila kujua ndio anakufa hivyo
 
Hivi hawa ikitokea Lisu amekuwa Rais wataweka wapi malio yao?

Maisha yanakwenda kasi sana, ni kama kibao cha guest house saa yoyote kinageuzwa "vyumba vimejaa"

Tuombe Mungu atupe uhai tuje tushuhudie siku hiyo Chama Tawala kimekua Chama Pinzani(Au kimesambaratika) je itakuwaje??

Japokua kwa upinzani huu wa sasa sidhani kama tutashuhudia sie "in our lifetime"

Labda wajukuu/vitukuu zetu
 
Kuna wajinga huku mtaani wanaendelea na vikao na mikutano ya kupiga kura asa CCM huku wakijua tupo kwenye kuomboleza aiseee...
Hivi hii sini laana kwa chama? Kwani wangesogeza mbele kuna tatizo gani

Kila mtu atawajibika kwa matendo yake

Usiumize kichwa sana siasa za Bongo utaumwa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…