Tetesi: Vyombo vya Usalama vilivyojipanga kumpokea Tundu Lissu

Lazima TL anyooshwe tuone hao vibaraka wake waje tupambane nao, jino kwa jino. Sisi ni nchi huru hatuwezi kuamuliwa na kinyago yoyote. Mwache aje, we are ready for him.
sawa mkuu ila ubavu huo wa kupambana no mnao mnakuza mambo bila sababu ,ningekua mwenyekiti wa ccm ningeongoza maandamano ya kumpoke lisssu hivi kitengo cha propaganda ccm hakipo tena ? na matokeo yake mnatumia nguvu nyingi bila sababu why
 
Acha upotoshaji wa kujinga ww, tofautisha nchi na serikali. Alisema fika serikali haijatekeleza wajibu wake kwenye shambulio lake, na wala hakuna popote alipochagfua nchi. Hao polisi hawaombi bali anawakumbusha wajibu wao kisheria. Naona unadhani kulindwa na polisi ni hisani, huo ni wajibu wa polisi, na wanalipwa kwa kazi hiyo. Huna lolote ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani.
 
sawa mkuu ila ubavu huo wa kupambana no mnao mnakuza mambo bila sababu ,ningekua mwenyekiti wa ccm ningeongoza maandamano ya kumpoke lisssu hivi kitengo cha propaganda ccm hakipo tena ? na matokeo yake mnatumia nguvu nyingi bila sababu why
Umekaririshwa kila Mzalendo nchi hii yupo kwenye CCM propaganda machine, acha kukariri kuna wengi tu tunaifahamu hii nchi tangu alifu. Sio TL au CCM anayeweza kuwaburuza wazalendo wa nchi hii ambao wanatambua nani ni adui.
 
Hivi nyinyi kwa akili zenu finyu mnadhani nchi hii inaendeshwa kwa siasa za wanaharakati wa mtandao wa jamii forum sio?? Yaani mmekazana kweli kumnadi chizi

Sioni popote ulipojibu nilichosema zaidi ya hoja ya nguvu nyingi, na akili kidogo.
 
mmm mbona viongozi wetu huwa tunawaokea na kama si ilo mbona ndege zetu huwa tunakusanyika kuzipokea mkuu
Mkuu wangu RAIS na wale wawili wa chini yake hatufananishi na kina Lissu...
Lini umeona watu wakienda kumpokea Prof.Kabudi et al kwa mapambio?!!!

Ndege sawa....shirika lilikuwa muflisi.....
 
Lissu anatoa taarifa za kufuatiliwa na gari isiyojulikana 2017

"hatufanyii kazi taarifa za kishabiki za mitandaoni sisi"

Lissu anatangaza kurejea 2020

"hata Hivyo tumeona katika mitandao ya kijamii baadhi ya viongozi wa Chadema wakihamasisha wananchi kukusanyika.

Kuna watumishi wana akili mbovu sana
 
Tundu Lisu hana nguvu tena

Nyokoo
 
Sijui ni kwanini Siku zote Mbwa hupenda sana Kujipeleka kwa Nyoka aina ya Chatu ili akamezwe na Kuuwawa nae hata kama ukijitahidi Kumzuia.
Wewe nilikupuuza tangia hapa, unajifanya mjuaji kumbe mpuuzi wa Lumumba buku saba tu.
 
Wewe nilikupuuza tangia hapa, unajifanya mjuaji kumbe mpuuzi wa Lumumba buku saba tu.
Hivi ID yako hii imeandikwa Kimakosa hadi Kujiita Jimbi au ulipaswa ujiite Pimbi tu kabisa?
 
Wewe jamaa ulikuwa kichwa sana humu lakini ukaamua nawe kujitoa ufahamu na kuungana na MAZWAZWA! πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰
 
Wewe TAPELI tu, unajifanya mtu wa kitengo wakati ni mpuuzi wa MANZESE tu. Lumumba hopeless kabisa.
Sasa kama umeshajua kuwa Mimi ni Tapeli na najifanya Mtu wa TISS kwanini tu 'usiniripoti' Kwao ili 'nikamatwe' kwa 'Utapeli' huu hapa Nchini?
 
Umeona utolopo wako ulioandika?? Ulikuwa unawafurahisha mabwana zako, ili wakufikirie kwenye kura za maoni ee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…