Vyuo vikuu vyote jirekebisheni kuna namna mmepotoka kidogo.

Vyuo vikuu vyote jirekebisheni kuna namna mmepotoka kidogo.

Unapotosha sasa

Division 1 hata iwe 1.9 bado sio dhaifu kwako dhaifu interm of what?

Na huku tunapoelekea nyie ndio mnafanya hizi 1 fake kuwa nyingi maana mtu anaona akipata 1.6 ni dhaifu matokeo yake vyuo vinapiga panga wengi kwa kugundua ni 1 ,a ujanja ujanja
Dude, now you’re arguing for the sake of arguing. Unajua maana ya Division One scale ya 1.3 - 1.9? Unafikiri waliiweka kujifurahisha? Kwamba, kwa fikra zako, one ni one tu haijalishi ni ya points ngapi?

Hiyo scale ni kipimo cha strength ya one ya mtu. Hata ulalamike 24/7, hakuna reasonable admission officer anayeweza kumnyima admission muombaji mwenye 1.3 ili ampe hiyo nafasi muombaji mwenye 1.5.
 
Nani amekudanganya USA watu huwa wanasoma wanapopataka.

Mfano havard huwa inakubali first year 2000 tu kila mwaka. Ila watu wanaoomba nafasi ya kusoma havard ni zaidi ya 50,000. Hivyo zaidi ya 48,000 wanatemwa wanakosa nafasi.

Ushindani wa vyuo upo dunia nzima


Sawa lakini ukweli ni kuwa population nayo imeongezeka na unajua wazi watu ndio labour power popote pale

Population yetu sidhani kama inafikia ya USA lakini wote wanasoma tu wanapotaka kulingana na qualification zao

Hapa ina maana kuwa ni moja

Vyuo vingi miundombinu imezidiwa kuliko uhalisia wake halisi! Sindio?

Na vingine havitaki kukubali hilo na kujiupdate badala yake wanajificha kwenye kichaka cha minimum entry
 
Waende Veta wakasome plumbing miezi 3 akimaliza ,anasoma electrical miezi 3 akimaliza ,anaunganisha capentry and joinery miezi 3,mwisho anamalizia kozi ya kupaua miezi 3.anaingia mtaani kupambana anakuwa fundi kiraka kila kazi anafit
 
Mkuu, hapo US kaangalie idadi ya vyuo vyao na uwezo wake. Mfano chuo kikuu cha jimbo la Arizona kina uwezo wa kuchukua wanafunzi wa vyuo vingapi hapa Tanzania?.
Sasa mkuu kweli unataka chuo kikuu cha Jimbo la arzona kilichopo marekani kukifananisha na chuo cha udsm kweli mkuu?
 
Back
Top Bottom