Wa kienyeji, mtu ameniita hivi, inamaanisha nini?

Mtunza siri zako

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2025
Posts
586
Reaction score
975
Kuna mtu huko inbox ameniita wa kienyeji, nimemuuliza inamanisha nini amekataa kuniambia.
Naomba mniambie hili jina linamaanisha nini? au ni tusi?

Nimejaribu kusearch humu JF nakutana na nyuzi za “kuku wa kienyeji” na “waganga wa kienyeji” tu.

kuku wa kienyeji 222 copy.jpg
 
Kuna mtu huko inbox ameniita wa kienyeji, nimemuuliza inamanisha nini amekataa kuniambia.
Naomba mniambie hili jina linamaanisha nini? au ni tusi?

Nimejaribu kusearch humu JF nakutana na nyuzi za “kuku wa kienyeji” na “waganga wa kienyeji” tu.

View attachment 3305216
hapo kuna mawili...aidha ana maanisha wewe ni mshamba, au ana maanisha wewe ni pure, wale wa ku edit mpaka umri 😎 😎 😎
 
Back
Top Bottom