Wa kienyeji, mtu ameniita hivi, inamaanisha nini?

Wa kienyeji, mtu ameniita hivi, inamaanisha nini?

Mtafsiri toka buza

kuku wa kienyeji ni yule demu wa uswahilini sio wa kishua
kuku kishingo ni yule wa vigodoro kwa sana na demu wa wote kwa masela hakosi kunyoa kiduku hawa pia ni kuku wa kienyeji kwa namna tofauti
chura ni mwanamke mdangaji akipanda cheo anaitwa chura supastaa
mshangaz najua unajua
kijot ni demu anayeuza utupu chap kwa kadandia mwingne
Sasa haya mambo yote mimi ningeyajulia wapi.
Asante kwa kunielewesha!
 
Yani humu unatakiwa ukae kimasta sana 😹😹
Kuna mmoja alisema unaweza kuta watumiaji wa JF tupo kumi ila user mmoja ana id mia 🤣
Hata mimi naamini hivyo mkuu,mimi kuna I'd yangu ya mda niliisahau now nimeikumbuka ila nashindwa kuitumia kabisa , sijui wengine wanaweza vipi kujifanyisha , mimi nikilewa tu naweza ropoka🤣🤣🤣
 
Hata mimi naamini hivyo mkuu,mimi kuna I'd yangu ya mda niliisahau now nimeikumbuka ila nashindwa kuitumia kabisa , sijui wengine wanaweza vipi kujifanyisha , mimi nikilewa tu naweza ropoka🤣🤣🤣
Hizi id mpya nyingi za member wazoefu wanataka kucheza na akili zetu…!! 😹

Jitahidi usisahau tena password unipe nilitumie siku nikipewa ban..!!🤣
 
Back
Top Bottom