Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
- Thread starter
- #61
Asante sanaHii hapa maana yake
Asante sanaHii hapa maana yake
Sawa nitakupa , kuna siku nililewa nikazingua na hii id kesho yake nikapanda nalo kukwepa maswali yani sikuweza changia chochote zaidi ya kucheka tu😅😅😅😅 Dr am 4 real PhDHizi id mpya nyingi za member wazoefu wanataka kucheza na akili zetu…!! 😹
Jitahidi usisahau tena password unipe nilitumie siku nikipewa ban..!!🤣
Min kasema wewe bint sayuni 😹Shikamoo dada, mimi siyo huyo mtu
Mmmh imenivunja moyo, wala sitatuma. Mimi sitaki kuitwa mshamba kisa nimetuma picha nalisha mifugohahah we tuma tu. kwani ukiitwa mshamba ndo unakuwa mshamba kweli?
Ulizingua nini? 😹Sawa nitakupa , kuna siku nililewa nikazingua na hii id kesho yake nikapanda nalo kukwepa maswali yani sikuweza changia chochote zaidi ya kucheka tu😅😅😅😅 Dr am 4 real PhD
Embu nitumie na mimi...ntakupa jibuDuuh mshamba tena, basi simtumii tena mtu picha yangu humu
Walewale tu, id za namna hii siku hizi ni nyingi kinomaHalafu hili limwandiko lake km la wizo bichwa komwe 😹😹😹
Hapana, huyo Binti Sayuni yuko wapi aje anitetee jamani. Mimi siyo yeye, japo nimesoma story zake na mimi nina matukio hayo yake yanasubiri 🤭😆Min kasema wewe bint sayuni 😹
Aloo kumbe yapo mawili, hilo la kuku sikuliona nalo lipiaTangazo la kuku au?
Parody limekaa kiinjilisti sana tatizo😁😁 unaweza tamba nalo watu wa kale wakapanda na risiti😅😅Ulizingua nini? 😹
Nipe hilo parody lako siku nikilewa niwakere waungwana..!! 🤣
Acha utata kakaAloo kumbe yapo mawili, hilo la kuku sikuliona nalo lipia
Dume wewe utamegwaKuna mtu huko inbox ameniita wa kienyeji, nimemuuliza inamanisha nini amekataa kuniambia.
Naomba mniambie hili jina linamaanisha nini? au ni tusi?
Nimejaribu kusearch humu JF nakutana na nyuzi za “kuku wa kienyeji” na “waganga wa kienyeji” tu.
View attachment 3305216
We Nesi umejoin ijumaa tu ulifikiri chai itaiva 😅Kuna mtu huko inbox ameniita wa kienyeji, nimemuuliza inamanisha nini amekataa kuniambia.
Naomba mniambie hili jina linamaanisha nini? au ni tusi?
Nimejaribu kusearch humu JF nakutana na nyuzi za “kuku wa kienyeji” na “waganga wa kienyeji” tu.
View attachment 3305216
Sijakuelewa chai gani?We Nesi umejoin ijumaa tu ulifikiri chai itaiva 😅
Mimi nakunywaga for recreational purposes Tena jioni baada ya kazi..kinacho niboa ni POMBE NA USINGIZISawa nitakupa , kuna siku nililewa nikazingua na hii id kesho yake nikapanda nalo kukwepa maswali yani sikuweza changia chochote zaidi ya kucheka tu😅😅😅😅 Dr am 4 real PhD
Jiheshimu, uheshimiwe!Dume wewe utamegwa
Mpaka hapo ni wewe 😹😹😹Hapana, huyo Binti Sayuni yuko wapi aje anitetee jamani. Mimi siyo yeye, japo nimesoma story zake na mimi nina matukio hayo yake yanasubiri 🤭😆
Unajua kuchemsha chai ya rangi?Sijakuelewa chai gani?
Wewe lete password em kwanza 😹😹Parody limekaa kiinjilisti sana tatizo😁😁 unaweza tamba nalo watu wa kale wakapanda na risiti😅😅