Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
- Thread starter
- #101
Dunia ni kubwa sana, wapi duniani. Kanda ya ziwa???Kwetu duniani tu ,wala usijali
Dunia ni kubwa sana, wapi duniani. Kanda ya ziwa???Kwetu duniani tu ,wala usijali
Ukibiriti ngoma ndiyo nini?kuna uwezekano we ni mchafu, eiza una nuka mdomo au kwapa. Una mambo ya kiswahili swahili, ama mshamba mshamba!!
Wanaume ndo hua tuna tabia ya kubatiza vitu visivyo vutia majina ya ajabu kuhalalisha tamaa zetu. Utaskia
“Hata konyagi ni Gongo tu” au “ Nipe kisamvu cha Kopo”.
Oga vizuri, jitunze… acha Ukibiriti ngoma!!
Nipo nipo tu karibu pombeDunia ni kubwa sana, wapi duniani. Kanda ya ziwa???
Wewe ni mlevi?Nipo nipo tu karibu pombe
Tena sana tuWewe ni mlevi?
Basi kwaheri, acha nikukimbie, naogopa sana walevi!Tena sana tu
Wewe haugopi walevi ila unawaogopa wasema ukweli, kiukweli mimi ni mlevi na sina pesa ,ila tunaweza kuyajenga vizuri tuBasi kwaheri, acha nikukimbie, naogopa sana walevi!
Tulile kabisa 😂 😂Mkuu jogoo la pasaka hilo.
Ni KKuna mtu huko inbox ameniita wa kienyeji, nimemuuliza inamanisha nini amekataa kuniambia.
Naomba mniambie hili jina linamaanisha nini? au ni tusi?
Nimejaribu kusearch humu JF nakutana na nyuzi za “kuku wa kienyeji” na “waganga wa kienyeji” tu.
View attachment 3305216
Hapana naogopa walevi, ila kama huna pesa, unanunuaje pombe?Wewe haugopi walevi ila unawaogopa wasema ukweli, kiukweli mimi ni mlevi na sina pesa ,ila tunaweza kuyajenga vizuri tu
Hahaha 😁Tulile kabisa 😂 😂
Ukiwa mlevi ndio utajua inakuaje una buku mbili tu ila unajikuta umelewa pombe za 50 Dr am 4 real PhDHapana naogopa walevi, ila kama huna pesa, unanunuaje pombe?
Mungu anisaidie nisije kuwa mlevi, ila mara moja moja nakunywaga vi castle light na savannah 😁Ukiwa mlevi ndio utajua inakuaje una buku mbili tu ila unajikuta umelewa pombe za 50 Dr am 4 real PhD
Hawajambo hapo kaziniHahaha 😁
Acha kusema vi Castle light wewe ni mlevi tu gademiiit Evelyn Salt ona hii simbilisi🤣🤣Mungu anisaidie nisije kuwa mlevi, ila mara moja moja nakunywaga vi castle light na savannah 😁
Wanawake uwaambie ukweli? LabdaWewe haugopi walevi ila unawaogopa wasema ukweli, kiukweli mimi ni mlevi na sina pesa ,ila tunaweza kuyajenga vizuri tu
Mi sijakuandama braza