Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
- Thread starter
- #141
Hapana, nimejaribu kutuma huko inbox nimeitwa wa kienyeji. Sitoi tena picha yangu!
Hapana, nimejaribu kutuma huko inbox nimeitwa wa kienyeji. Sitoi tena picha yangu!
Maji kumwaga eeenhe, basi sawa. Asante!😃😃😃😃😃, Usichanganyikiwe, cha msingi skilizia ukolevu wa mzee wa pori awapo kunako.....unamwaga maji mengi mengi unafurahia utamu wa maisha
Hahahahaha me chai siitumii labda yoghurt mkuu 😅 😅Vizuri, fanya chemsha ya maziwa, hii mimi sinywi...
Folliculostellate njoo unywe
Kua makini,subiri sikukuu zipite ndo uvamie madada,saa hizi asilimia kubwa wanawinda.Mcheki moderator yeyote au kaka mkubwa Max akupe control number ulipie hili tangazo.
Hahahahaha we jamaaa me nakunywa mtindi TU 🤣Vizuri, fanya chemsha ya maziwa, hii mimi sinywi...
Folliculostellate njoo unywe
Mkono una vipete nilivinunua mnadaniHuo mkono vp
Sawa, njoo inbox unipe taarifa zakeKungwii njoo umfundee, mdogo wangu wa kike anakaribia kuvunja TV ya chogo.
Kuna mawili hapo: la kwanza, wewe waweza kuwa ni mrembo wa asili usiyejichubua kwa mikorogo ama kutengeneza mishepu ya mchina, yaani upo natural.Kuna mtu huko inbox ameniita wa kienyeji, nimemuuliza inamanisha nini amekataa kuniambia.
Naomba mniambie hili jina linamaanisha nini? au ni tusi?
Nimejaribu kusearch humu JF nakutana na nyuzi za “kuku wa kienyeji” na “waganga wa kienyeji” tu.
View attachment 3305216
Hahaa 😅 kwamba unaogopa kisukari auHahahahaha me chai siitumii labda yoghurt mkuu 😅 😅
Una hela wewe 😅?Hahahahaha we jamaaa me nakunywa mtindi TU 🤣
Ila nesi anavituko hahaha..
Pesa ya kawaida TU mkuu, (ya kula hainipi shidaaa)Una hela wewe 😅?
Sawa, ila unaitwa Folliculostellate 😅Mimi ninaishi uswahilini