Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
- Thread starter
- #121
*sistaMi sijakuandama braza
*sistaMi sijakuandama braza
Umejuaje amekuja?
Amenijibu hukuUmejuaje amekuja?
Hapa wako vema sana baba yao nawasimamia vizuri.Hawajambo hapo kazini
Mambo ya kuiga, akikujibu anambieUkibiriti ngoma ndiyo nini?
Mara sungura pori, mara kinguruwe pori, mnanichanganya tu.Kiguruwe pori ,sio!
Kazi nzuriHapa wako vema sana baba yao nawasimamia vizuri.
AmenKazi nzuri
Nimekujia naleta,Amen
Ndio nini hiyo?Anamaanisha chupi mkononi
Baba yupi anazingua?Faza unazingua .
Ndo ivyo dingiNdio nini
Mimi sina rejesho, ndiyo kwanza nimeanza kaziJf ina vidada 😂😂 hapa ni rehesho linatafutwa.... Leo kuna mtu hakui kuku wa kienyeji?.
Shikilia hapo hapo.Nimekujia naleta,
Vyote ulivyo nipa,
Ni mwili na Roho yangu,
Hata na mawazo yangu,
Hiyo heshima yako,
Nyie mnasali au, mbona sielewi?Nimekujia naleta,
Vyote ulivyo nipa,
Ni mwili na Roho yangu,
Hata na mawazo yangu,
Hiyo heshima yako,
😃😃😃😃😃, Usichanganyikiwe, cha msingi skilizia ukolevu wa mzee wa pori awapo kunako.....unamwaga maji mengi mengi unafurahia utamu wa maishaMara sungura pori, mara kinguruwe pori, mnanichanganya tu.