Wa kumrithi Hanniyeh, HAMAS wangeuchuna ingewapunguzia nini?

Hizo ni medani za kivita huwezi kuelewa kama hujacheza hata mgambo

Kumbe wewe Colonel unayezielewa mno uliwahi kufanyiza nazo wapi?

Au chumbani ukikomaa kikamanda, kukunja ngumi na kuzungusha?

Makamanda uchwara kwa kijifanya wajuzi huku wamepiga magoti wanaomba katiba mpya, hamjqmbo.

Kumbe cheche zenu ziko wap basi?
 
Reactions: 511
Kumbe wewe Colonel unayezielewa mno uliwahi kufanyiza nazo wapi?

Au chumbani ukikomaa kikamanda, kukunja ngumi na kuzungusha?

Makamanda uchwara kwa kijifanta wajuzi huku wamepiga magoti wanaomba katiba mpya.

Kumbe cheche zenu ziko wapi?
We bado mdogo iko siku utaelewa.
 
Hilo neno "madhwalimu" maana yake ni nini mkuu?
 
Kumbe wewe Colonel unayezielewa mno uliwahi kufanyiza nazo wapi?

Au chumbani ukikomaa kikamanda, kukunja ngumi na kuzungusha?

Makamanda uchwara kwa kijifanta wajuzi huku wamepiga magoti wanaomba katiba mpya.

Kumbe cheche zenu ziko wapi?
Mwamba leo una jambo🤣🤣🤣
Wamekosea kutoa target
 
Ww muoga TU hv ww ungekuwa hania hata misibani usingeenda huyo amechaguliwa na atafanyakzi zake kama kawaida kufa kila mtu atakufa

Ustaadh nakuona uko kiimani zaidi. Huko hata kina viboko wa wachawi wapo ndugu.

Vita hivi si kutanguliza vifua. Huku kuna drones.

Hivi si vita vya kumlilia mnyazi Mungu.

Ninawaelewa hawa ndugu:

Humo nimo najua ustaadh Bwana Utam yumo lakini joga kama wewe bila shaka huwezi kuwamo.

Vita si mdomo!
 
Reactions: 511
Huwa na tofautiana sana tu na mleta mada, ila ukimsoma vizuri andiko lake kuna hoja ambayo wengi hamuioni. Katika andiko hili amedhibiti kabisa hisia na ameongea objectively zaidi.
 
Sinwar si mtu wa kuwekwa public, huyu mtu amefanikiwa kujificha kwa muda mrefu now wana mu expose? This guys
 
Hawa watu wangechagua kuijenga ga,a na kuleta maendelea kwa misaada wanayopata wangekuwa mbali sana.Wao kwa kukosa akili wakachagua kuchimba mahandaki na kufanya harakati.Gaza ingekuwa zaidi ya dubai kama wasingekuwa magaidi
Ungelikuwa katika situation ya Gaza, Hamas na Palestine kwa ujumla usingeliandika hiki.

Ni sawa na kusema kwa nini wazee wetu wakati wa utumwani na ukoloni hawakujenga maghorofa yao.
 
Ulitaka chama kiendeshwe bila uongozi ? Kwa kipindi gani haswa ?
 
Huwa na tofautiana sana tu na mleta mada, ila ukimsoma vizuri andiko lake kuna hoja ambayo wengi hamuioni. Katika andiko hili amedhibiti kabisa hisia na ameongea objectively zaidi.
Hoja ipi ?
 
Huwa na tofautiana sana tu na mleta mada, ila ukimsoma vizuri andiko lake kuna hoja ambayo wengi hamuioni. Katika andiko hili amedhibiti kabisa hisia na ameongea objectively zaidi.
Hata mie namuona pia kama anahoja sana
Ila wewe msaidie kujibu ulitaka hamas isiwe tena na kiongozi ama baada ya muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…