Wa kumrithi Hanniyeh, HAMAS wangeuchuna ingewapunguzia nini?

Gaza ni Taifa?! Liliundwa mwaka gani?
 
Reactions: 511
Myahudi yeye anakimbiza mwizi kimya kimya

Nakubaliana nawe. Kukimbiza mwizi kimya kimya si unyonge.

Kulikoni HAMAS kukimbiza wao kwa makelele?

Zingatia kila mmoja hapo ana mwizi wake.
 
Reactions: 511
Suala la uhakika gani atatumikia jicho cheo anajuwa Mungu wake tisilete ujuaji kwani hao wakina Netanyahu wanauhakika gani wabkutumikia hivyo vyeo vyao? Umeandika ujinga sana.
 
Suala la uhakika gani atatumikia jicho cheo anajuwa Mungu wake tisilete ujuaji kwani hao wakina Netanyahu wanauhakika gani wabkutumikia hivyo vyeo vyao? Umeandika ujinga sana.

Unaonaje wewe mwerevu ungekwenda kuwa ADC wake?

Au werevu wako ni Buza Buza huko tu?

Bure kabisa!
 
Kwamba:

"Kukiri kuhusika au kuthibitisha shambulizi au athari?"

Kwako wewe huo ni ushujaa?

Wewe unadhani Israel hawafanyizi, hawafi, kushambuliwa au kuathirika?

Kwamba ukikaa kimya utapungukiwa nini?
Unakaa kimya ili iweje.mimi nawapongeza sana Hamas inaonesha Israel hawataweza kuifuta kama walivyotangaza .wakimuua na huyu anachaguliwa mwengine Tena Yani ni bampa to bampa mpaka kieleweke.
 
Hata kama wangekaaa kimya mzayuni angejua tu
 
Reactions: 511
Unakaa kimya ili iweje.mimi nawapongeza sana Hamas inaonesha Israel hawataweza kuifuta kama walivyotangaza .wakimuua na huyu anachaguliwa mwengine Tena Yani ni bampa to bampa mpaka kieleweke.

Kwanini achaguliwe kuuwawa?

Si atuuwe Hawa?



Au wewe haumo humo ila ungechaguliwa kabisa kiofisi ukalie kiti?
 
Reactions: 511
Sababu zipo wazi kwanini taasisi/kikundi/jumuia/chama/nchi nk zinahitaji kiongozi.

1. Kuongoza dira.
2. Uwakilishi.
3. Kufanikisha umoja
4. Kuongoza mikakati na mipango
5. Uhamasishaji na kutoa hamasa.

Haijalishi kingozi anatambukika kwa CHEO gani. Muhimu taasisi lazima iwe na KIONGOZI anayetambuliwa na wanachama.

Hayo mambo mengine uliyosema ni CHANGAMOTO zanazokuwepo ndani ya UONGOZI.
 
Labda alisha kufa kwamba wamechagua kumchanganya zaidi jahudi.

Lakini kama ni mzima kutokea Gaza atafikaje Qatari, Turkey au kwa washirika kindaki ndaki Tehran?
Wewe unauliza atafikaje Qatar kwanini hujauliza kama yupo hai mpaka sasa yupo wapi?
 
Hivi hapa Tanzania tunaweza kumchagua mwenyekiti wa CCM au Chadema halafu ikafanywa Siri?

Iwe siri atakubali? Hujawahi kusikia fomu moja kuchapishwa au kuonja sumu?

Kwani hao hujui ni matumbo yao kwanza? Wewe ni mgeni nchi hii?

Hivi tunawashangaa sasa HAMAS.

Hukuwahi kumsikia Bizimungu hapo Kwa tolu. Unadhani aliwahi kuwa rais?
 
Gaza ni Taifa?! Liliundwa mwaka gani?
u are missing the point,sio Gaza wala west bank,wapalestina kiujumla bado hawajatambuliwa rasmi kama Taifa!Na hiyo ni kwasababu ya Israel,US na washirika wake!
Rudi kwenye hoja ya msingi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…