Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,067
- 4,434
Maisha ni vile unavyoyatengeneza,je umeyatengeneza vipi?
vipi vipisi vya sigara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha ni vile unavyoyatengeneza,je umeyatengeneza vipi?
vipi vipisi vya sigara[/QU sigara sivuti kama sijala
vipi vipisi vya sigara[/QU sigara sivuti kama sijala
SIJALA city ni mji mkuu wa jamhuri ya watu wa afrika magharibi ,wanalima mapera dunia nzima hakuna wa kuwapiku
samahani naomba kuuliza, hili jina lako la masaburi lina maana ya makalio au?Mawazo yamenizidia mpaka najiuliza kwanini nimezaliwa ktk hii nchi iliyojaa ufukara......!!!
nukta ni uwezo wakufikiri wa hao jamaa-hapo juu-walio haribu mtiririko wa huu mchezo kwa kuanza na neno ''mawazo''
Dar es salaam ni uzushi tu bora nikaishi Arusha
Dar es salaam ni uzushi tu bora nikaishi Arusha
Lema anapiga kazi kwel au uzushi tu..
Eeeh!..si Rais dhaifu tu hata wananchi wake ni dhaifu wakutupwa.Pia hata Ma-alawi nao wana raisi dhaifu eeeh...