Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Vision ya chadema ni ukombozi wa wanyonge wa tanzania bila kujali dini, rangi, ukanda wala kabila la mtu.
 
Mtu mwenye kuipenda Tanzania ni yule anayejali maslahi ya nchi yake na sio wale wanaokwiba fedha za walala hoi kwa kutengeneza migao ya umeme
 
umeme na maji kwakila mtanzania bado ni ndoto, hasa ktk serikal Dhaifu
 
Dhaifu hata MENDE Anayeutaka UraHisi 2.0.1.5....:israel:
 
maruhani...
Jaman wengine twatoka bara hapo nimetoka kapa
 
maruhani...
Jaman wengine twatoka bara hapo nimetoka kapa

kapa kwa lipi?maruhani mbna ni term often used,owkey usipotee tena maruhani can stand for majini,mashetani and so on
 
Back
Top Bottom