Wa mwisho ndiyo mshindi

On that game, normally I am like a crazy
 
kapa kwa lipi?maruhani mbna ni term often used,owkey usipotee tena maruhani can stand for majini,mashetani and so on

ongeza bidii maombi hayo mashetani ya kutoke!
 
Yakutoke yaende wapi wakati wewe uko arusha unafanya mambo ya kifisadi saivi..hata shetani hakubali
 
Usipost chochote ili yangu iwe ya mwisho!!
 
Mwampamba kapotelea wapi au anauza Mitumba Morogoro?
 
Chumvini ni kijiji kimoja kilichopo huko ukerewe
 
ukerewe ni kisiwa kilichopo ziwa victoria
 
Mnyange ndio nini???

Nini?Yaani Ukubwa woote hujui maana ya MNYANGE...Shame on You Sir/madam,owkey kwa faida yako MNYANGE ni MREMBO ....Hoping umenimanya.:israel:
 
ubishe ucbishe mie ndio mshindi kwenye hii thread
 
Thread hii imeletwa na mleta thread makusudi kabisa ili atupotezee muda wetu tusahau kupambana na serikali ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…