Nanjelenje au ni Nanjilinji ?... Vijijini kungekuwa na maji safi, umeme na barabara inayopitika kwa urahisi misimu yote, mji wa Dar usingekuwa na idadi ya hii ya watu... Hivi mji kama Ulanga wenye historia ya kuzalisha mpunga leo hii mvua ikinyesha tu hata trekta haliendi halafu kuna majizi {KAMA YANAVYOITWA NA TINDU LISU} kila kukicha yanajiita wabunge na kusheherekea miaka 50 wa Uhuru na Maendeleo....