Wa mwisho ndiyo mshindi

Kujisaidia ni bora kuliko kusaidiwa.Si umeona wanaume wa Rombo?
 
Ndoa ndoano

tuone kama mtaendeleza
kumbuka:neno la mwisho hapo ni ndoano
 
Samaki wazuri kutoka Victoria wanaliwa na matajiri.Sisi tunakula mapanki
 
Nini? Hujui mapanki? Ni skeletoni inayobaki baada ya minofu ya samaki kunyofolewa ili ikasindikwe!
 
Jamani watu hawalali, mpaka sahv wengine bado wako macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…