Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kujisaidia ni bora kuliko kusaidiwa.Si umeona wanaume wa Rombo?
 
Samaki wazuri kutoka Victoria wanaliwa na matajiri.Sisi tunakula mapanki
 
Nini? Hujui mapanki? Ni skeletoni inayobaki baada ya minofu ya samaki kunyofolewa ili ikasindikwe!
 
Back
Top Bottom