Fidelis Gregory
Senior Member
- May 25, 2015
- 147
- 51
Hata iweje slaa hawez kuwa rais
Rais ajae atatoka nje ya ccm maana wameiba mpaka wamechoka
Uchafu gani jamani? #Mwana ni msafi,mstaarabu,mchapakazi,muwazi na mkweli.
Naona mnamuiga sungura na hadithi ya sizitaki mbichi hizi!
Hawawezi wote kabisa.Akina na Cardinal06 wananionea wivu kwa mtoto mrembo Mwana.Hivi kwa miguu yake ilivyo,b5-click atashindana nami kumuwania mrembo huyu?