Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Yake ni ya kishindo,hawataki achoke mapema maana ana shughuli pevu huko mbele.
#Mwana nimekutafuta sana,hujambo aisee?
Nipo Pepsini nipo! majukumu tu hapa nimeiba sekunde kadhaa Nione yanayojiri nakutana na ujumbe mzito! Nipo!
 
mapungufu ya pepsin hutokea asipomuona Mwana.. hivi Mwana we ni Me/Ke!??
 
Last edited by a moderator:
Uchafu gani jamani? #Mwana ni msafi,mstaarabu,mchapakazi,muwazi na mkweli.
Naona mnamuiga sungura na hadithi ya sizitaki mbichi hizi!
 
Magwiji pekee tutaishi na Mwana. huyu pepsin ntagambila tu
 
Last edited by a moderator:
Tu?B5-click na Cardinal 06,mmezeeka hamuwezi kitu.Haya mavitambi ya ufisadi hayamtishi #Mwana kabisa.Mwana anahitaji kupendwa,hahitaji ufisadi.
Karibuni UKAWA,tumaini letu.
Magwiji pekee tutaishi na Mwana. huyu pepsin ntagambila tu
 
Last edited by a moderator:
letu taifa halina nguvu mbele ya mafisadi.. ila Mwanakaanza kuiteka hii roho ya jeshi
 
Last edited by a moderator:
Hawawezi wote kabisa.Akina na Cardinal06 wananionea wivu kwa mtoto mrembo Mwana.Hivi kwa miguu yake ilivyo,b5-click atashindana nami kumuwania mrembo huyu?
 
Back
Top Bottom