Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Itoke tu haraka maana tumeshaambiwa maendeleo hayana chama, na ndivyo ilivyo hata kwenye mataifa yanayodai kuongoza katika suala la demokrasia, diplomasia & utawala boraAliyeibuka juu ya maji nusura roho itoke
Bora tuondokane na hizi hulka za kukuomoana..Itoke tu haraka maana tumeshaambiwa maendeleo hayana chama, na ndivyo ilivyo hata kwenye mataifa yanayodai kuongoza katika suala la demokrasia, diplomasia & utawala bora
Kukomoana lazima kuishie mwaka 2020 maana ulijawa Mr Korona, Mr Mzungu, Mr European Union, Mr the Hague, Mr ^No More, No Less,^ Mr Sasa Basi, Mr Patachimbika!Bora tuondokane na hizi hulka za kukuomoana..
Patachimbika wakituletea chanjo fekiKukomoana lazima kuishie mwaka 2020 maana ulijawa Mr Korona, Mr Mzungu, Mr European Union, Mr the Hague, Mr ^No More, No Less,^ Mr Sasa Basi, Mr Patachimbika!
Feki zilikuwa zimezagaa sana nchini, mathalani pesa feki, watumishi feki, feki, boom feki, wanachuo feki, na kadhalikaPatachimbika wakituletea chanjo feki
Na kadhalika tuliwakumbatia Maswahiba fekiFeki zilikuwa zimezagaa sana nchini, mathalani pesa feki, watumishi feki, feki, boom feki, wanachuo feki, na kadhalika
feki aifaii kwa matumizi ya binadamuNa kadhalika tuliwakumbatia Maswahiba feki
Feki hazipo tena kunchi yetu JPM kazifyekelea mbali, zimesalia tu labda bidhaa feki za ChinaNa kadhalika tuliwakumbatia Maswahiba feki
China mbabe wa beberuFeki hazipo tena kunchi yetu JPM kazifyekelea mbali, zimesalia tu labda bidhaa feki za China
Sana sana anapochokozwaBeberu wa kiume ni hatari sana
Anapochokozwa kwa dharau una haki ya kuripuwaSana sana anapochokozwa
Kulipuwa kazi matokeo yake ni ufanisi mdogo na biashara kudorora na kufilisika, ndiyo maana ubunifu, bidii, weledi na nidhamu ni vigezo vya msingi mno kuzingatia ili kukuza soko endelevu la ajira & ushindani chanya ulimwenguniAnapochokozwa kwa dharau una haki ya kuripuwa
Ulimwenguni kote kumejaa shamra-shamra za kukaribisha mwaka mpyaKulipuwa kazi matokeo yake ni ufanisi mdogo na biashara kudorora na kufilisika, ndiyo maana ubunifu, bidii, weledi na nidhamu ni vigezo vya msingi mno kuzingatia ili kukuza soko endelevu la ajira & ushindani chanya ulimwenguni
Mpya ni ya mwisho kabisaUlimwenguni kote kumejaa shamra-shamra za kukaribisha mwaka mpya
Kabisa kama ilivyoanza mwaka tuwajibikeMpya ni ya mwisho kabisa
Tuwajibike kulijenga TaifaKabisa kama ilivyoanza mwaka tuwajibike
Taifa ni sisi na sisi wenyewe ndiyo wajenziTuwajibike kulijenga taifa
Wajenzi ni sehemu fulani hivi ipo dodomaTaifa ni sisi na sisi wenyewe ndiyo wajenzi
Dodoma ina hadhi na kipenzi cha wananchiWajenzi ni sehemu fulani hivi ipo dodoma