Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Wote tuseme na kukubaliana kuwa ndoa inahitaji commitment kubwa na kuvumiliana kucheat hakukufanyi kuwa bora zaidi yakutengeza mikosiZetu dua kwa yanayoendelea kwa wanandoa wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote tuseme na kukubaliana kuwa ndoa inahitaji commitment kubwa na kuvumiliana kucheat hakukufanyi kuwa bora zaidi yakutengeza mikosiZetu dua kwa yanayoendelea kwa wanandoa wote.
Muangalifu ni mtu mmoja makini sanaZetu hasira huleta maafa pasipo kuwa muangalifu
CAG kalipuka tena kakuta kuna ubadhilifu wa milion300 kwenye halmashauri moja huko ambapo DED ni mke wa spika je kuna ukweli wowote?Iendelee kusomwa bila magumashi report ya CAG
Nalog off
Sana kabisaMuangalifu ni mtu mmoja makini sana
Ukweli wowote utajulikana siku zijazoCAG kalipuka tena kakuta kuna ubadhilifu wa milion300 kwenye halmashauri moja huko ambapo DED ni mke wa spika je kuna ukweli wowote?
Off duty kuanzia kesho hadi JumapiliUkweli wowote utajulikana siku zijazo
Nalog off
Jamvini kuna wastaarabuAbrianna ni mstarabu sana hana mfano wake hapa jamvini
Wastaarabu lakini wanapenda majungu haoJamvini kuna wastaarabu
Janvini kuna watu wengiAbrianna ni mstarabu sana hana mfano wake hapa jamvini
Miadi ya kustukiziana bila taarifa ina nafasi yake kwenye jamiiAbrianna hana taarifa ya hii miadi
Jamii ya wenye kuotea zareMiadi ya kustukiziana bila taarifa ina nafasi yake kwenye jamii
Zare huwa linatokea bahati yako tu, mara paaa zali la mentaliJamii ya wenye kuotea zare
Mentali kama mentali hivi hili neno ni kiswahili au kiingererezaZare huwa linatokea bahati yako tu, mara paaa zali la mentali
Kiingereza mkuu, mental, waswahili wakaongeza "I", lakini bin wallah halitambui hilo ka sanifuMentali kama mentali hivi hili neno ni kiswahili au kiingerereza
Sanifu umuhimu wake kwenye Lugha unahitajika sana, ndio maana kuna Kamusi ya Kiswahili Sanifu, hizi lugha ni ngumu sana. Usikute mimi na wewe bado hatuongei Kiswahili fasahaKiingereza mkuu, mental, waswahili wakaongeza "I", lakini bin wallah halitambui hilo ka sanifu
Fasaha kina wenyewe, waliobobea katika lugha hii. Twafaa tukienzi na kukithamini, ndio tuendelee kuwa stadi kwenye maongezi yetu wanajamii na wengineoSanifu umuhimu wake kwenye Lugha unahitajika sana, ndio maana kuna Kamusi ya Kiswahili Sanifu, hizi lugha ni ngumu sana. Usikute mimi na wewe bado hatuongei Kiswahili fasaha
Wengineo hawana muda wa kujifunza Kiswahili fasaha, na kwenye kuandika wengine wameamua kuboresha kiaina yao, yaani utakuta maandishi yao mpenz, mm, ww, yy, sna, xaxa, xana, na kuendelea, hizi lugha za mtaani tunazozizungumza kwa kweli zinashusha hadhi ya Lugha ya KiswahiliFasaha kina wenyewe, waliobobea katika lugha hii. Twafaa tukienzi na kukithamini, ndio tuendelee kuwa stadi kwenye maongezi yetu wanajamii na wengineo