Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Sanifu umuhimu wake kwenye Lugha unahitajika sana, ndio maana kuna Kamusi ya Kiswahili Sanifu, hizi lugha ni ngumu sana. Usikute mimi na wewe bado hatuongei Kiswahili fasaha
Fasaha kina wenyewe, waliobobea katika lugha hii. Twafaa tukienzi na kukithamini, ndio tuendelee kuwa stadi kwenye maongezi yetu wanajamii na wengineo
 
Fasaha kina wenyewe, waliobobea katika lugha hii. Twafaa tukienzi na kukithamini, ndio tuendelee kuwa stadi kwenye maongezi yetu wanajamii na wengineo
Wengineo hawana muda wa kujifunza Kiswahili fasaha, na kwenye kuandika wengine wameamua kuboresha kiaina yao, yaani utakuta maandishi yao mpenz, mm, ww, yy, sna, xaxa, xana, na kuendelea, hizi lugha za mtaani tunazozizungumza kwa kweli zinashusha hadhi ya Lugha ya Kiswahili
 
Back
Top Bottom