Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Kiswahili lugha ya TaifaWengineo hawana muda wa kujifunza Kiswahili fasaha, na kwenye kuandika wengine wameamua kuboresha kiaina yao, yaani utakuta maandishi yao mpenz, mm, ww, yy, sna, xaxa, xana, na kuendelea, hizi lugha za mtaani tunazozizungumza kwa kweli zinashusha hadhi ya Lugha ya Kiswahili
Wapi alipo Emanuel GabrielTaifa stars inakwama wapi..?
Gabriel yule malaika wa MunguWapi alipo Emanuel Gabriel
Mungu anapenda watu wakeGabriel yule malaika wa Mungu
Wake za watu sumuMungu anapenda watu wake
Sumu tunakunywaga lakini hatufi ghetoni ndio kila kitu maziwa yanapatikanaga hukoWake za watu sumu
Huko ghettoni utakosa maziwa siku ya sikuSumu tunakunywaga lakini hatufi ghetoni ndio kila kitu maziwa yanapatikanaga huko
Siku ya Leo ni JumamosiHuko ghettoni utakosa maziwa siku ya siku
Jumamosi ya mitungi na mikasi, corona imetia lokiSiku ya Leo ni Jumamosi
Loki ndio kitu gani hichoJumamosi ya mitungi na mikasi, corona imetia loki
Hicho kibamia chako unamlingishia nani wewe?Loki ndio kitu gani hicho
Wewe umetishaHicho kibamia chako unamlingishia nani wewe?
Umetisha sana hauko mitungi kweliWewe umetisha
😂
Kweli, ni ndom tu nachomaUmetisha sana hauko mitungi kweli
Nachoma chanjo ya covid-19Kweli, ni ndom tu nachoma
Covid-19 imeharibu mipango na maisha ya wengiNachoma chanjo ya covid-19
Wengi wanalalama na ugumu wa maishaCovid-19 imeharibu mipango na maisha ya wengi
[emoji23]mambo vipi mkuuWewe umetisha
[emoji23]
Mkuu wa nchi yupo dodoma[emoji23]mambo vipi mkuu