Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Kiswahili lugha ya TaifaWengineo hawana muda wa kujifunza Kiswahili fasaha, na kwenye kuandika wengine wameamua kuboresha kiaina yao, yaani utakuta maandishi yao mpenz, mm, ww, yy, sna, xaxa, xana, na kuendelea, hizi lugha za mtaani tunazozizungumza kwa kweli zinashusha hadhi ya Lugha ya Kiswahili
Nalog off