T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Dodoma ni makao makuu ya nchi ya UgandaMkuu wa nchi yupo dodoma
Uganda ilitawaliwa na nduliDodoma ni makao makuu ya nchi ya Uganda
Nduli idiamini dadaUganda ilitawaliwa na nduli
Dada ana maringoNduli idiamini dada
Maringo yote hayo anayatoa wapi wakati sura yake ni ya kawaida sanaDada ana maringo
Sana kama ya baba mzaziMaringo yote hayo anayatoa wapi wakati sura yake ni ya kawaida sana
Mzazi wako ni mkaliSana kama ya baba mzazi
Mkali sana huyu AbriannaMzazi wako ni mkali
Abrianna ni mwelevuMkali sana huyu Abrianna
Mwelevu sana yule mtotoAbrianna ni mwelevu
Mtoto wa kitanzania anapendezaMwelevu sana yule mtoto
Anapendeza kwa kuwa tupo uchumi wa katiMtoto wa kitanzania anapendeza
Kati huwa kutamu sanaAnapendeza kwa kuwa tupo uchumi wa kati
Sana sana mimi sajaelewa chochoteKati huwa kutamu sana
Sana endapo ukiwa unaonja asaliKati huwa kutamu sana
Asali wa moyoSana endapo ukiwa unaonja asali
Moyo kazi yake ni kusukuma damu tu hakuna kingeneAsali wa moyo
Kingine ni kiherehere tuMoyo kazi yake ni kusukuma damu tu hakuna kingene
Tu imba na kuchezaKingine ni kiherehere tu
Kucheza uchi kuna raha yake bhanaTu imba na kucheza