Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Uuaji wa nyamapori ni haramu kimaadili na marufuku kisheria..Kuamsha hisia za mtu na kumuacha kavu ni unyama au uuaji
Kisheria hatupaswi kuwa wachocheziUuaji wa nyamapori ni haramu kimaadili na marufuku kisheria..
Wachochezi ni adui wa Amani hivyo wanastahiki adhabu...Kisheria hatupaswi kuwa wachochezi
Adhabu iendane na sheria za nchiWachochezi ni adui wa Amani hivyo wanastahiki adhabu...
Nchi ya wanyongeAdhabu iendane na sheria za nchi
Wanyonge jina baya saana likatazwe na walaaniwe wanao litumiaNchi ya wanyonge
Wanaolitumia ni viongoziWanyonge jina baya saana likatazwe na walaaniwe wanao litumia
Viongozi Wawe waadilifu na watende hakiWanaolitumia ni viongozi
Haki haitendeki katika ile nchiViongozi Wawe waadilifu na watende haki
Nchi ina kua kidogo.kidogoHaki haitendeki katika ile nchi
Kidogo tugawaneNchi ina kua kidogo.kidogo
Tugawane majukumu katika kuleta maendeleoKidogo tugawane
Maendeleo hayaji hivihivi bila juhudiTugawane majukumu katika kuleta maendeleo
Juhudi ni kujituma ipasavyoMaendeleo hayaji hivihivi bila juhudi
Ipasavyo au kwa usahihiJuhudi ni kujituma ipasavyo
Usahihi wa kimawazo na malengoIpasavyo au kwa usahihi
Malengo tuliyojiwekea inabidi yatimie ili tuweze kufanikiwaUsahihi wa kimawazo na malengo
Kufanikiwa kunahitaj uvumilivuMalengo tuliyojiwekea inabidi yatimie ili tuweze kufanikiwa
Kufanikiwa kunahitaj uvumilivuMalengo tuliyojiwekea inabidi yatimie ili tuweze kufanikiwa
Uvumilivu nao una kikomo.Kufanikiwa kunahitaj uvumilivu