Nyote maoni yenu ni ya muhimu kwenye hiliWapendwa wetu tunawakaribisha nyote
Hili ni tatizo kubwa sanaNyote maoni yenu ni ya muhimu kwenye hili
Kubwa sana kuliko yote ni kwamba nampenda Baba mtumishi wanguHili ni tatizo kubwa sana
Sasa umejuaje tena kwamba hata mimi katika hao watatu natamani wawili wawe daughters? 😍😍Kuwa Baba paroko tena?
Na daughters wale wawili nitawapataje sasa?[emoji1787]
Daughters wawili uliwasema mwenyewe humu[emoji23]Sasa umejuaje tena kwamba hata mimi katika hao watatu natamani wawili wawe daughters? [emoji7][emoji7]
Humu tumeongea mengi, hadi mengine nimesahauDaughters wawili uliwasema mwenyewe humu
Nimesahau kukwambia kuwa jana nimelala hoi kwa sababu ya wapuuzi fulani wa kuitwa Leicester city😂Humu tumeongea mengi, hadi mengine nimesahau
Kilio kingine kinaenda kwa timu bovu la kujiita chelsea.Hali yake ikoje so far? nakosa reaction ya kuweka kwenye hiyo comment yako maana kwa upande mwingine mimi nilichekelea.
Jumapili vijana wa Tukel tunapeleka kilio kingine
Yule mama mtumishi namuonaga kule akimpenda penda TRENT 😕Kilio kingine kinaenda kwa timu bovu la kujiita chelsea.
Tunakwenda lifunga mabao ya kutosha...Hii mechi nzuri sana maana nacheza na vijana wa baba mtumishi.
..........
Mama mtumishi hatetereki,yupo kupambana kwenye uzi.
Ni jeshi la mtu mmoja yule🤣
Ila asikutishe,nilianza kushabikia LFC kabla hajazaliwa huyo dogo.Yule mama mtumishi namuonaga kule akimpenda penda TRENT 😕
Dogo anatokea mji wa kijani? duh....basi usishangae ukisikia amefungua tawi la wakereketwa wa ccm pale MerseysideTRENT ni muongoni mwa wachezaji ninaowazimia😂,homeboy wetu.
Ila asikutishe,nilianza kushabikia LFC kabla hajazaliwa huyo dogo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌Dogo anatokea mji wa kijani? duh....basi usishangae ukisikia amefungua tawi la wakereketwa wa ccm pale Merseyside
Huko nje utakapojiunga wako mbwa, na wachawi, na wazinzi, na wauaji, na hao waabuduo sanamu, na kila mtu apendaye uongo na kuufanya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Muone!
Homeboy pale Anfield.
Achana na kijani kibichi,,,siku hizi ile timu ya mwendazake inaanzisha chama ,nadhani nitajiunga huko😁
Kuufanya kila watu wanaufanya.Huko nje utakapojiunga wako mbwa, na wachawi, na wazinzi, na wauaji, na hao waabuduo sanamu, na kila mtu apendaye uongo na kuufanya
Shujaa wetu lazima 'legase' yake ilindwe. Tusiruhusu 'wahuni' waseme eti nchi itawekwa rehaniKuufanya kila watu wanaufanya.
Ni heri huko kuliko ukanjanja wa sasa😊🙂,,
Vyama vilivyopo siwezi kujiunga baba unless wameacha kumsimanga shujaa wetu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shujaa wetu lazima 'legase' yake ilindwe. Tusiruhusu 'wahuni' waseme eti nchi itawekwa rehani
Mimi sipendagi ujinga hata siku moja,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Rehani uiweke picha yako ili mama mtumishi asinywe pombe.
Nahitaji picha yako leo baba mtumishi wangu mimi[emoji6]
Hata siku moja siwezi kuacha kumpenda baba mtumishi wanguMimi sipendagi ujinga hata siku moja,
Wangu bado hajazaliwaHata siku moja siwezi kuacha kumpenda baba mtumishi wangu