Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Daughters wawili uliwasema mwenyewe humu
emoji23.png
Humu tumeongea mengi, hadi mengine nimesahau
 
Hali yake ikoje so far? nakosa reaction ya kuweka kwenye hiyo comment yako maana kwa upande mwingine mimi nilichekelea.

Jumapili vijana wa Tukel tunapeleka kilio kingine
 
Kilio kingine kinaenda kwa timu bovu la kujiita chelsea.
Tunakwenda lifunga mabao ya kutosha...Hii mechi nzuri sana maana nacheza na vijana wa baba mtumishi.

..........
Mama mtumishi hatetereki,yupo kupambana kwenye uzi.
Ni jeshi la mtu mmoja yule🤣
 
Yule mama mtumishi namuonaga kule akimpenda penda TRENT 😕
 
Dogo anatokea mji wa kijani? duh....basi usishangae ukisikia amefungua tawi la wakereketwa wa ccm pale Merseyside
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Muone!

Homeboy pale Anfield.
Achana na kijani kibichi,,,siku hizi ile timu ya mwendazake inaanzisha chama ,nadhani nitajiunga huko😁
 
Huko nje utakapojiunga wako mbwa, na wachawi, na wazinzi, na wauaji, na hao waabuduo sanamu, na kila mtu apendaye uongo na kuufanya
 
Kuufanya kila watu wanaufanya.
Ni heri huko kuliko ukanjanja wa sasa😊🙂,,
Vyama vilivyopo siwezi kujiunga baba unless wameacha kumsimanga shujaa wetu.
 
Back
Top Bottom