Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,056
Rais anaweza kukubali kweli?
Sio huyu smiling boy....
Boy gani unaemuongelea hapa
Hapa Arusha wakati huu kuna joto mchana
mchana huu umejaa heri
heri na baraka kwa wana JF wote
Wote kwa pamoja tuna shukuru
Shukuru alikuwa jirani yangu muuza duka huko Arusha
Arusha ni pazuri kwanini uliondoka
uliondoka..niliondoka nikaamua kwenda kusaka maisha sehem nyingine za Tanzania
Tanzania,hiyo ni sehem gani nyingine ulipo sasa
sasa hivi niko darisalama
Darisalama sijawahi kufika yani
kushinda atashinda mtu wa mwisho kuchangia vinginevyo ngumu