Viboko na shule vinaenda pamoja.
Pamoja na kwamba vinaendana, vitumike panapostahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viboko na shule vinaenda pamoja.
Pamoja na kwamba vinaendana, vitumike panapostahili
panapostahili ni pale ukiwa mtovu wa nidhamu.
Shanyc anadhani yeye ni untouchable eti
eti bombu we unaishi wapi.
Wapi wewe kwa nini
Nini unatudanganya?
Unamfaham?hilo nalo swali?
Swali gani hilo?
Hilo lako
lako limekushinda hili langu utaweza
Utaliwezaje kati halikuhusu
halikuhusu ni neno ambalo limenikumbusha wimbo wa "hayakuhusu" wa msanii Rah P.
Rah P keshauza game. Hatofautiani na Brazil