Ednatha
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 489
- 665
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amani na upendo ni tunda la Roho
Roho yangu kwatuAmani na upendo ni tunda la Roho
Kwatu kwatu ndo nini
Nini kikuchekeshacho bibieKwatu kwatu ndo nini
Bibie alipandisha maruhani baada ya kucheza ngoma za jadi..Nini kikuchekeshacho bibie
Ngoma za jadi nazipenda, nikiziskia zanikumbusha kwetu kijijiniBibie alipandisha maruhani baada ya kucheza ngoma za jadi..
Ngoma za jadi nazipenda, nikiziskia zanikumbusha kwetu kijijini
Mkuu mimi natokea kolomije
Dimba nimelifungua
Funguo ya maisha ni elimu