Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,498
- 13,138
hewa safi inapatikana peponiPembeni mwangu kuna dirisha laingiza hewa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hewa safi inapatikana peponiPembeni mwangu kuna dirisha laingiza hewa...
Peponi ni pazurihewa safi inapatikana peponi
Pazuri huko panahitaji maandalizi..Peponi ni pazuri
Muhimu ujue mbinu za kusakata...Maandalizi kabla ya mchezo ni muhimu
Inaweza kana ni mchapioKusakata inaweza kana
mchapio ni Kawaida kwenye maongeziInaweza kana ni mchapio
Maongezi lazima yawe na mipakamchapio ni Kawaida kwenye maongezi
Nalog off
Mipaka baina ya nchi na nchiMaongezi lazima yawe na mipaka
Nchi gani Afrika, raisi wao amepinduliwaMipaka baina ya nchi na nchi
Amepinduliwa kwa kung'ang'ania madarakaNchi gani Afrika, raisi wao amepinduliwa
Madaraka matamu,muulizen jiweAmepinduliwa kwa kung'ang'ania madaraka
Magufuli amesema mitano tenaMadaraka matamu,muulizen jiwe
Nalog off
Ili akamalizie kazi yake,japo tunaumia Ila matunda tunatarajiaMagufuli amesema mitano tena
Tunatarajia kuongezeka kwa uchumi wetuIli akamalizie kazi yake,japo tunaumia Ila matunda tunatarajia
Uchumi wetu ndiyo ngao yetu yakupambana dhidi ya mafisadi ..Tunatarajia kuongezeka kwa uchumi wetu
Mafisadi hawataisha TanzaniaUchumi wetu ndiyo ngao yetu yakupambana dhidi ya mafisadi ..
Tanzania nchi pekee kuwapokea wakimbiziMafisadi hawataisha Tanzania
wakimbizi não ni watuTanzania nchi pekee kuwapokea wakimbizi