onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Atauweza wap huyo @ mzushi flani namuangalia tuMoto wa onlyalvira utauweza ?!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atauweza wap huyo @ mzushi flani namuangalia tuMoto wa onlyalvira utauweza ?!?
Tulia tuli mwana mwenye maono yakini..Atauweza wap huyo @ mzushi flani namuangalia tu
Yakini maana yake ni Nini mkuu?Tulia tuli mwana mwenye maono yakini..
Mkuu wa shule ya msingi anatakiwa kujua majukumu yakeYakini maana yake ni Nini mkuu?
Yake ameyaweka kabatini anatumia yakwetuMkuu wa shule ya msingi anatakiwa kujua majukumu yake
Yake maana ya "yakini" uzingatio ulioaminika,Sure ABJ nina yakini umeelewa!!Mkuu wa shule ya msingi anatakiwa kujua majukumu yake
Umeelewa nn wewe Zamiluni Zamiluni nimekuiliza swali kule kwenye uzi wa meno nenda ukajibuYake maana ya "yakini" uzingatio ulioaminika,Sure ABJ nina yakini umeelewa!!
Ukajibu nini tena Mwanangu? Nilisha menya maganda ya ndizi nikasugua meno yakang'aaUmeelewa nn wewe Zamiluni Zamiluni nimekuiliza swali kule kwenye uzi wa meno nenda ukajibu
Kung'aa kama theluji itiririkayo mlimaniUkajibu nini tena Mwanangu? Nilisha menya maganda ya ndizi nikasugua meno yakang'aa
Mlimani kuzuri sana hasa kileleniKung'aa kama theluji itiririkayo mlimani
Kileleni wap unapuzungumziaMlimani kuzuri sana hasa kileleni
Unapazungumzia pale kati patamuKileleni wap unapuzungumzia
Patamu unapokula na wenzio sinina la ubwabwa wa maulidini..Unapazungumzia pale kati patamu
Maulidi nime mis wallah,unakuwaga mtamu hadi rahaPatamu unapokula na wenzio sinina la ubwabwa wa maulidini..
Raha & mafanikio ya maendeleo kila mtu awe mzalendo na mweledi ndipo tutawashinda maadui watatu wakuu: ujinga, maradhi na umaskiniMaulidi nime mis wallah,unakuwaga mtamu hadi raha
Ndugu zako wako wapi unaowauliza,uchumi wakati unaufurahia lakin sio kwa kila mtanzaniaUmasikini umeisha, sasa hivi tupo uchumi wakati, naongea uongo ndugu zangu?
Mtanzania anashuhudia sasa ndege zinaenda Chato, umeambiwa zinabeba mihogo?Ndugu zako wako wapi unaowauliza,uchumi wakati unaufurahia lakin sio kwa kila mtanzania
Mtanzania wa kweli atajinasibisha kwa uungwana, kuipenda nchi yake na kuitetea, na pia kukuza ari ya fanaka, maendeleo na ustawi himilivu kwa kila raiaNdugu zako wako wapi unaowauliza,uchumi wakati unaufurahia lakin sio kwa kila mtanzania
Raia hawana furaha,wengi wanasononeka sijui tatizo liko wapMtanzania wa kweli atajinasibisha kwa uungwana, kuipenda nchi yake na kuitetea, na pia kukuza ari ya fanaka, maendeleo na ustawi himilivu kwa kila raia