mgosani
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,005
- 1,136
Stimu ina andikwaje kwa kiingerezamvua naipenda inaleta stimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stimu ina andikwaje kwa kiingerezamvua naipenda inaleta stimu
Kiingereza ni lugha ya wazunguStimu ina andikwaje kwa kiingereza
Wazungu wa kiume nawenyewe wanatoa wazungu kwaniKiingereza ni lugha ya wazungu
Kwani nyie hamujui hata Weusi humwaga wazungu pori....Wazungu wa kiume nawenyewe wanatoa wazungu kwani
pori la mabwebande naskia ndio guantanamo ya bongoKwani nyie hamujui hata Weusi humwaga wazungu pori....
Bongo zoo ina wanyama aina ya pekee duniani..pori la mabwebande naskia ndio guantanamo ya bongo
duniani kuna watu na viatuBongo zoo ina wanyama aina ya pekee duniani..
Viatu vya baniani dawa lakini mambo yake mabaya....duniani kuna watu na viatu
mabaya ya ex wako sio vizuri kuyatangaza redionViatu vya baniani dawa lakini mambo yake mabaya....
Redioni enzi zile nilivuma sana japo hamkunisikia..mabaya ya ex wako sio vizuri kuyatangaza redion
hamkunisikia wanangu nlishawaambia utamu wa chips mimbaRedioni enzi zile nilivuma sana japo hamkunisikia..
Mimba ya TEMBO hudumu miaka miwili lakini akizaa msitu kutikisika...!!hamkunisikia wanangu nlishawaambia utamu wa chips mimba
Unatikisika haswa na wanyama hutulia pembeni..Kutikisika! au msitu unatikisika?
huu mda labda muite Zamiluni Zamiluni aje akupe kampaniPembeni yangu natamani sana ningekuwa na marafiki kwa muda huu
Kampani kwahiyo zinapungua hapa Chit-Chat ikifika mida hii! au siyo?huu mda labda muite Zamiluni Zamiluni aje akupe kampani
Duniani tunapita sio makazi ya mileleBongo zoo ina wanyama aina ya pekee duniani..
Kampani ni muhimu inaondoa upwekehuu mda labda muite Zamiluni Zamiluni aje akupe kampani
Viatu vya gharama vinakuoa mwonekanoduniani kuna watu na viatu