cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,756
- 5,250
Chai my wangu wakati mnaongoza nchiWangu tuma na ya kutolea ninywe chai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chai my wangu wakati mnaongoza nchiWangu tuma na ya kutolea ninywe chai
Kilichompata chawa babalevo anastahili kabisaKweli lakin alistahir kupata kilichompata
----------------For real? [emoji23]
Ulaya sio? Arsenal wanachakata watoto vibaya hukoReal Madrid Katina nusu fainali kombe la ulaya
Kweli lakin alistahir kupata kilichompata
Huko umeenda mbali, simba je mbona inapiga watu goli 5 [emoji23][emoji23][emoji23]Ulaya sio? Arsenal wanachakata watoto vibaya huko
Nchi kweli tunaongoza ila mshahara analipwa SamiaChai my wangu wakati mnaongoza nchi
Kabisa ni vijana waropokaji waleKilichompata chawa babalevo anastahili kabisa
Wale vijana tuwasameheKabisa ni vijana waropokaji wale
Tuwasamehe wake zetuWale vijana tuwasamehe
Zetu dua kwa yanayoendelea kwa wanandoa wote.Tuwasamehe wake zetu
Wote tumeridhia hii hali iendeleeZetu dua kwa yanayoendelea kwa wanandoa wote.
Iendelee kusomwa bila magumashi report ya CAG
CAG na report yake iliyozua gumzoIendelee kusomwa bila magumashi report ya CAG
Nalog off
Gumzo lazima liwepo kwa kuwa raia namba 2 alikuwa kwenye wizara ya mpungaCAG na report yake iliyozua gumzo
Mpunga ni zao maarufu Mkoani Mbeya vip unajua hilo?Gumzo lazima liwepo kwa kuwa raia namba 2 alikuwa kwenye wizara ya mpunga
Nalog off
Hilo nalifahamuMpunga ni zao maarufu Mkoani Mbeya vip unajua hilo?
Zetu hasira huleta maafa pasipo kuwa muangalifuTuwasamehe wake zetu