Mkalimani wa Bibi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 801
- 3,143
Bhana me sielewiKucheza uchi kuna raha yake bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bhana me sielewiKucheza uchi kuna raha yake bhana
Sielewi wewe ni Mkalimani wa Bibi wa bibi kizaa mama au bibi kizaa baba?Bhana me sielewi
Baba anauza mayaiSielewi wewe ni Mkalimani wa Bibi wa bibi kizaa mama au bibi kizaa baba?
Mayai ya kienyeji matamu sana hasa yaliyokaangwaBaba anauza mayai
Yaliyokaangwa ama ya kuchemshaMayai ya kienyeji matamu sana hasa yaliyokaangwa
Kuchemsha mayai ya kienyeji siyo maana ukiyala kuna hali fulani tumboni hasa ukijamba na kucheuaYaliyokaangwa ama ya kuchemsha
Kucheua ni ng'ombe bwana, na anarudia kumeza tenaKuchemsha mayai ya kienyeji siyo maana ukiyala kuna hali fulani tumboni hasa ukijamba na kucheua
Tena pale huwa hapatoshiKucheua ni ng'ombe bwana, na anarudia kumeza tena
Hapatoshi sababu watu ni wengiTena pale huwa hapatoshi
Wengi mno pale kwa njeHapatoshi sababu watu ni wengi
Nje jua kali, tukakae ndaniWengi mno pale kwa nje
Ndani kwake kuzuriNje jua kali, tukakae ndani
Kuzuri sana, tatizo mbaliNdani kwake kuzuri
Lenie yuko bukheri wa afya, vipi wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu
Yangu ndogo sana sidhani kama itaweza kukuenea/kukutoshaLenie yuko bukheri wa afya, vipi wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu
Mkuu nashauri ukaiongeze japo iwe kubwaYangu ndogo sana sidhani kama itaweza kukuenea/kukutosha
Mimi ni mzima wa afya kabisa mkuu
Kubwa tamu ndefu inakeraMkuu nashauri ukaiongeze japo iwe kubwa
Inakera sana wasajili laini za mitandao wakipita mtaani wakiliza vipasa sautiKubwa tamu ndefu inakera
Sauti kuubwa ati sajili laini ya Tigo 4g Airtel 4g wanaboa kinyama yaaniInakera sana wasajili laini za mitandao wakipita mtaani wakiliza vipasa sauti