Killeville
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 410
- 1,218
Kupendwa na kupenda vikikutana,penzi lazima linoge.Mtu yeyote anahaki ya kupenda na kupendwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupendwa na kupenda vikikutana,penzi lazima linoge.Mtu yeyote anahaki ya kupenda na kupendwa
Linoge kwani unataka kulila?Kupendwa na kupenda vikikutana,penzi lazima linoge.
Kulila kwan ni chakula🙄🙄🙄Linoge kwani unataka kulila?
Chakula cha usiku huwa siyo kitamuKulila kwan ni chakula[emoji849][emoji849][emoji849]
Kitamu kipi kama sio chakula cha usikuChakula cha usiku huwa siyo kitamu
Usiku wa Leo lazima nipige mbiliKitamu kipi kama sio chakula cha usiku
Mbili huwezi ng'00Usiku wa Leo lazima nipige mbili
Nalog off
Ng'oo maneno yako hayamtishi temboMbili huwezi ng'00
Tembo ni mnyama mnene sana.Ng'oo maneno yako hayamtishi tembo
Sana, hata mimi nililiona hiloTembo ni mnyama mnene sana.
Kifaru na Kiboko walikuwa wananichanganya kuwatambua yupi ni Kifaru na yupi ni KibokoHilo sio tatizo labda tumlete kifaru![]()
Kiboko yao mimi hapaKifaru na Kiboko walikuwa wananichanganya kuwatambua yupi ni Kifaru na yupi ni Kiboko
Hapa hakuna kujitapaKiboko yao mimi hapa
Kujitapa ni sawa na majivunoHapa hakuna kujitapa
mawazo nayo hayatoki labda unywe sumulock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Kujitapa kote huko kumbe ana kibamiaHapa hakuna kujitapa
Kibamia ni nini? Napitwa na mengi mimiKujitapa kote huko kumbe ana kibamia
Mimi na wewe hatujui maana ya kibamiaKibamia ni nini? Napitwa na mengi mimi
Kibamia si ni mbogaMimi na wewe hatujui maana ya kibamia