Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Amani na upendo huleta furaha maishaniNchi yetu ni nzuri sana kwani tunakula na kulala kwa amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amani na upendo huleta furaha maishaniNchi yetu ni nzuri sana kwani tunakula na kulala kwa amani
Maishani mwangu sijawahi kwenda UrusiAmani na upendo huleta furaha maishani
Urusi uende ukafanye nini?Maishani mwangu sijawahi kwenda Urusi
Nini wakati nataka kumuona putin live bila chengaUrusi uende ukafanye nini?
Chenga ya Ronaldinho haijawahi kumuacha mpinzani salamaNini wakati nataka kumuona putin live bila chenga
Salama ni mrembo sanaChenga ya Ronaldinho haijawahi kumuacha mpinzani salama
Sana kumzidi Abrianna?Salama ni mrembo sana
Abrianna anasoma darasa la sabaSana kumzidi Abrianna?
Darasa la saba nilimaliza mwaka 1980Abrianna anasoma darasa la saba
1980 umemaliza la saba 🤔Darasa la saba nilimaliza mwaka 1980
Nalog off
Lá saba ndio darasa lá mwisho kwa shule ya msingi1980 umemaliza la saba 🤔
Msingi wa maisha ni elimuLá saba ndio darasa lá mwisho kwa shule ya msingi
Elimu bila jitihada sahau mafanikioMsingi wa maisha ni elimu
Mafanikio yako ni maamuzi yakoElimu bila jitihada sahau mafanikio
Mafanikio mengi hupatikana kwa kupitia elimuElimu bila jitihada sahau mafanikio
Elimu ni ufunguo wa maishaMafanikio mengi hupatikana kwa kupitia elimu
Maisha ni vile unavyoishiElimu ni ufunguo wa maisha
Unavyoishi ni matokeo ya maamuzi yakoMaisha ni vile unavyoishi
Unavyoishi vizuri na watu basi maisha yako huwa mazuriMaisha ni vile unavyoishi
Mazuri kwa sababu ya kupendwaUnavyoishi vizuri na watu basi maisha yako huwa mazuri
Nalog off