Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Wanasiasa wote ni waongoWazalendo wamekatishwa tamaa na wanasiasa
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasiasa wote ni waongoWazalendo wamekatishwa tamaa na wanasiasa
Waongo wataingia motoniWanasiasa wote ni waongo
Nalog off
Hakufai kwa sababu kuna mateso
Mateso ni ukosefu wa maadiliHakufai kwa sababu kuna mateso
Maadili ya dini yanaimarisha utuMateso ni ukosefu wa maadili
Utu wa mtu siku hizi hadi uwe na kituMaadili ya dini yanaimarisha utu
Kitu tena si kidogo unatakiwa uwe na mzigo wa pakachaUtu wa mtu siku hizi hadi uwe na kitu
Pakacha ndo nini etKitu tena si kidogo unatakiwa uwe na mzigo wa pakacha
Et swali zuri sana. Pakacha ni kibebeo cha bidhaa kutoka shambani kwa wenyeji wa pwani, hubebewa nazi,mihogo,embe n.k
Mnazi mmoja kuna wagonjwa wengiEt swali zuri sana. Pakacha ni kibebeo cha bidhaa kutoka shambani kwa wenyeji wa pwani, hubebewa nazi,mihogo,embe n.k
Hutengenezwa kwa kutumia makuti ya mnazi.
Wengi wenyeji wa mkoa wa Pwani hubeba vitu vyao Kwa kutumia pakachaMnazi mmoja kuna wagonjwa wengi
Pakacha maana yake niniWengi wenyeji wa mkoa wa Pwani hubeba vitu vyao Kwa kutumia pakacha
Nalog off
Nini maana ya pakacha?Pakacha maana yake nini
Mnazi wa bibi umeangukaNini maana ya pakacha?
Pakacha ni kibebeo cha bidhaa kutoka shambani au baharini kwa wenyeji wa pwani, hubebewa nazi,mihogo,embe,samaki n.k
Hutengenezwa kwa kutumia makuti ya mnazi.
Nalog off
Umeanguka kwasababu ulikuwa ukibishana na upepoMnazi wa bibi umeanguka
Upepo mkali na baridi vimekumba nchi nzimaUmeanguka kwasababu ulikuwa ukibishana na upepo
Nalog off
Nchi nzima imeanza kufurahia uhuru toka jamaa aendezakeUpepo mkali na baridi vimekumba nchi nzima
Zake kauli ziliwachosha wengiNchi nzima imeanza kufurahia uhuru toka jamaa aendezake
Nalog off
Wengi wamepata ahueni baada ya yule bwana kwenda zakeZake kauli ziliwachosha wengi