Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Wapeni ajira wananchi kuondoa lawama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapeni ajira wananchi kuondoa lawama
Lawama hazikwepeki hata ukiwapa maziwa na asaliWapeni ajira wananchi kuondoa lawama
Asali na Maziwa ya Moto ndio kifungua kinywa changu kikubwa kila asubuhiLawama hazikwepeki hata ukiwapa maziwa na asali
Asubuh yako basi ni njema sanaAsali na Maziwa ya Moto ndio kifungua kinywa changu kikubwa kila asubuhi
Asubuhi na mapema ninakwenda kanisani1Asali na Maziwa ya Moto ndio kifungua kinywa changu kikubwa kila asubuhi
Njema sana nia yako ya ndaniAsubuh yako basi ni njema sana
Ndani kunapemdeza Sana kukiwa kusafiNjema sana nia yako ya ndani
Kusafi ndio pazuri kwa sisi kuingiza kiurahisi bila UTI
Kukiwa kusafi hapatii kinyaa
UTI ni ugonjwa wa kujitakiaKusafi ndio pazuri kwa sisi kuingiza kiurahisi bila UTI
Kuja kwa kodi za miamala kumeleta taharukiKusafi ndan kwako!!?,nataman kuja
Taharuki imetukumba wazalendo kwenye kodi mpyaKuja kwa kodi za miamala kumeleta taharuki
Mpya wingi wake ni vipyaTaharuki imetukumba wazalendo kwenye kodi mpya
Vipya vifaa nimeletewa kwa matumiz ya wanafunziMpya wingi wake ni vipya
Wanafunzi hawana mtaalaVipya vifaa nimeletewa kwa matumiz ya wanafunzi
Mtaala wa elimu ufanyiwe mabadiliko
Mabadiliko km tozo ya miamala kwenye simMtaala wa elimu ufanyiwe mabadiliko
Sim zimeongeza gharma ya maishaMabadiliko km tozo ya miamala kwenye sim
Maisha yamekuwa juu sanaSim zimeongeza gharma ya maisha