Diss Meddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 590
- 1,291
Nampenda ndio sema yupo mbali na sijawah kumuonaWote wanajua kama mimi nampenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nampenda ndio sema yupo mbali na sijawah kumuonaWote wanajua kama mimi nampenda
Kumuona sio tatizo, tatizo ni kwamba huna uhakika kama atakubali ombi lakoNampenda ndio sema yupo mbali na sijawah kumuona
Ombi langu sio tatizo kikubwa ajue kua anapendwaKumuona sio tatizo, tatizo ni kwamba huna uhakika kama atakubali ombi lako
Anapendwa na wengi sababu ya tabia yake nzuriOmbi langu sio tatizo kikubwa ajue kua anapendwa
Nzuri kweli hata mie kanivutiaAnapendwa na wengi sababu ya tabia yake nzuri
Kanivutia hadi nimeshindwa kuvumiliaNzuri kweli hata mie kanivutia
Kuvumilia yataka moyo bora kumwambia ukweliKanivutia hadi nimeshindwa kuvumilia
Ukweli wa mamboKuvumilia yataka moyo bora kumwambia ukweli
Mambo yenyewe ndio hayaUkweli wa mambo
Haya ni yangu na lenie we umetoka wapiMambo yenyewe ndio haya
Umetoka wapi wakati hujaitwaHaya ni yangu na lenie we umetoka wapi
Hujaitwa ndio rudi ulipotoka tafadharUmetoka wapi wakati hujaitwa
Tafadhali tuma na ya kutoleaHujaitwa ndio rudi ulipikia tafadhar
Ya kutolea na tozo kubwa hizi kama vp njoo home uchukueTafadhali tuma na ya kutolea
Home kuchukua nauli sinaYa kutolea na tozo kubwa hizi kama vp njoo home uchukue
Sina pesa kwenye simu chukua tax ntalipa ukifikaHome kuchukua nauli sina
Ukifika unijulishe nikufungulieSina pesa kwenye simu chukua tax ntalipa ukifika
Nikufungulie mapema kabla hujalowaUkifika unijulishe nikufungulie
Hujalowa jashoNikufungulie mapema kabla hujalowa
Jasho lina harufu mbaya inabidi aogeHujalowa jasho