Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,276
Ushindi wa hapa mkuu@Abrianna huyu Mr Mbaga333 anasema upewe tu ushindi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindi wa hapa mkuu@Abrianna huyu Mr Mbaga333 anasema upewe tu ushindi.
Pombe inaunguza mainiKwanini hunywi pombe?
Nalog off
Maini yanaunguzwa na pombe kali au kilevi chá aina yoyote?Pombe inaunguza maini
Pombe ni pombe tu japo na mimi nakubywaga. Bia tamu acha weweMaini yanaunguzwa na pombe kali au kilevi chá aina yoyote?
Nalog off
Wewe acha kupombekaPombe ni pombe tu japo na mimi nakubywaga. Bia tamu acha wewe
Wewe acha kupombeka
Tumbo la manenge lina kitambi kikubwaKupombeka niliacha baada ya kugundua naji expose kwenye risk ya kupata vidonda vya tumbo.
Kikubwa kutunza siri kati yangu na yakoTumbo la manenge lina kitambi kikubwa
Yangu na yako sio siri tena maana siri ni ya mtu mmoja
Mmoja mwenyewe akishindwa mi siwezi kumtunziaYangu na yako sio siri tena maana siri ni ya mtu mmoja
Mmoja wetu akimwambia rafiki yake ndo siri itaumbuka,ila mimi nakutunzia siri yako na simwambii mtuYangu na yako sio siri tena maana siri ni ya mtu mmoja
Mmoja wetu akimwambia rafiki yake ndo siri itaumbuka,ila mimi nakutunzia siri yako na simwambii mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuzaliwa kwa Yesu KristoSeptember 11 plus another 11 days ndo siku yangu ya kuzaliwa
Yesu kristo alikuwa raia wa wapi?Kuzaliwa kwa Yesu Kristo
Raia wa wapi hawana furaha na uraia wao?Yesu kristo alikuwa raia wa wapi?
Nalog off
Wao wanasemajeRaia wa wapi hawana furaha na uraia wao?
Wao wanasemaje
Wanasemaje kuhusu nini