Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Mwisho-we atakosekana mshindi kwasababu ya kutofuata sheria ipaswavyo.
ipaswavyo kufanya ni kunipa mimi ushindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho-we atakosekana mshindi kwasababu ya kutofuata sheria ipaswavyo.
ipaswavyo kufanya ni kunipa mimi ushindi
Ushindi kila mtu anautaka kwahio ni vigumu wewe kukupa
kukupa wewe haiwezekani mimi lazima niibuke kinara
Kinara ni mimi we kwani hujui?
hujui kuwa muda huu wanaapishwa Mawaziri
Mawaziri wote bado mizigo.
Mizigo kivipi hebu dadavua
Wazi kivipi si mseme waziwazi zaididadavua anadavuvuaje na hili ni swala amalo liko wazi
Nini kirefu na maana ya R.S.A, Omygad toa maana.
R.S.A ni republic of South Africa