Wa Russia, Uingereza, China, Arab, German, Hindi, Afrika wote wanatamani kuishi USA

Wa Russia, Uingereza, China, Arab, German, Hindi, Afrika wote wanatamani kuishi USA

Hata pro Russia, China wote wanatamani kuishi USA. Kwa hiyo tusidanganyane. Beberu USA ataendelea kututawala tu
Usa ni Nchi yenye Fursa Nyingi kama Dar unavyoona Tanzania, ila sio ideal sehemu nzuri ya kuishi.

Kwa Living standard hata ukitaja Top 10 Usa Haipo.

Zipo Nchi kama Za Scandnavia Finland, Norway etc zina living standard kubwa sana, Kwa America Canada wapo Vizuri, kuna Visiwa Kibao Duniani watu wana Retire huko,

USA wale mabilionea wao wana Utajiri kuliko Nusu ya Nchi, zaidi ya Asilimia 20 ni Masikini USA, na kuna watu wa Kutosha ni Homeless wanalala mabarabarani.
 
Peke yako,sio Kila mtu anapenda kulala barabarani mkuu
Idadi ya wanaolala barabarani wachache na wengi wahamiaji mkuu...
KILA MTU ANAIHITAJI USA. Kwa kupenda au kutopenda.
Hata haya mawasiliano na ubishi hapa mitandaoni - kwa hisani ya USA
Simu - programu zake
Pc- na programu zake
Tv nk..
Satellite nk..
 
Taja umri wako kwanza... Nisikute nakujibu wakati umezaliwa juzi 1980....
 
USA inaongoza kuwa nchi ambayo sio maeneo ya vita lakini ni rahisi kuuawa kwa risasi.

Mtu mweusi kwa USA ni wa kutiliwa mashaka. Kuhojiwa au kukamatwa na Polisi ni wakati wowote, ukileta ubishi risasi inakuhusu.

Kama unaipenda USA ni wewe, sio kila mtu
 
Idadi ya wanaolala barabarani wachache na wengi wahamiaji mkuu...
KILA MTU ANAIHITAJI USA. Kwa kupenda au kutopenda.
Hata haya mawasiliano na ubishi hapa mitandaoni - kwa hisani ya USA
Simu - programu zake
Pc- na programu zake
Tv nk..
Satellite nk..
Sasa wewe usilale barabarani kule kwenu mkuu? Labda ukawe zombie ulale ndani
 
Urusi kesha poteza 1ya 3 ya askari wake juzi ijumaa kapigwa mpka kakimbia mji karkiv vifaru 58 vimeharibiwa battalion imeteketea ila wajinga hawajui
sawa, ukraine hajafa hata askari mmoja mkuu.. umefurahi sasa
 
Urusi kesha poteza 1ya 3 ya askari wake juzi ijumaa kapigwa mpka kakimbia mji karkiv vifaru 58 vimeharibiwa battalion imeteketea ila wajinga hawajui
Mkuu Road Master hiyo source ya hiyo habari kuwa 1/3 ya askari wa Russia wameuwawa siku ya 'Ijumaa ', ilisema asikari wangapi wa Ukraine waliuwawa? Kama hawajasema habari hizo zitilie mashaka. Siku hizi vyombo vya habari vya magharibi vina upende leo au tuseme wameegemea upande mmoja (Ukraine).
 
Back
Top Bottom