chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
watu Kama wewe mnatakiwa muuzwe uarabuni.kuwa na watu wa dizaini yako ktk taifa ni hasara kubwa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katoto Cha 2000's yr!! jf imejaza takataka za kila namna mkuu!!Taja umri wako kwanza... Nisikute nakujibu wakati umezaliwa juzi 1980....
Mnapenda kweli kudanganya kujipa Matumaini.🙆♀️ Wanao nishangaza zaidi ni wale wenye kitabu kilichoshushwa, ambacho ilim zote duniani zipo, hakuna haja ya katiba, mahakama wala serikali tofauti na inavyoelekeza
🙆♀️ Wanatuaminisha wengine kuwa tumepotoka, na wanatushawishi kwa diplomasia na nguvu kujiunga na mfumo huo wanaoupigia chapuo kuwa ni bora lakini mbona ndio wanaoongoza kwa kukimbia na kwenda kuishi nchi zenye democrasia?
Kiukweli me nashindwaga kuelewa kabisa,mfano mimi natamani nikaishi zile nchi za Scandinavian kuliko U.S.Usa ni Nchi yenye Fursa Nyingi kama Dar unavyoona Tanzania, ila sio ideal sehemu nzuri ya kuishi.
Kwa Living standard hata ukitaja Top 10 Usa Haipo.
Zipo Nchi kama Za Scandnavia Finland, Norway etc zina living standard kubwa sana, Kwa America Canada wapo Vizuri, kuna Visiwa Kibao Duniani watu wana Retire huko,
USA wale mabilionea wao wana Utajiri kuliko Nusu ya Nchi, zaidi ya Asilimia 20 ni Masikini USA, na kuna watu wa Kutosha ni Homeless wanalala mabarabarani.
Labda hali ya Hewa mkuu, ila Nchi ambazo wana Mixed economy wanafaidi sana maisha. Una balance maisha na starehe.Kiukweli me nashindwaga kuelewa kabisa,mfano mimi natamani nikaishi zile nchi za Scandinavian kuliko U.S.
Ila wakazi wa hizo nchi(Scandinavian)wanatamani kwenda kuishi U.S..
Marekani ni pa hovyo sana kwa kuishi , kasome tu uondoke au Katalii tu, kuishi ni utumwa sanaIdadi ya wanaolala barabarani wachache na wengi wahamiaji mkuu...
KILA MTU ANAIHITAJI USA. Kwa kupenda au kutopenda.
Hata haya mawasiliano na ubishi hapa mitandaoni - kwa hisani ya USA
Simu - programu zake
Pc- na programu zake
Tv nk..
Satellite nk..
Alisema ndani ya week tatu ataichukua Ukraine sasa vipi!? Kama unajui kiingereza fuatikia CNN tonight !!! IPO uck kuanzia SAA 7 uck!! Utajua ukweli achana namaneno ya vijiwensawa, ukraine hajafa hata askari mmoja mkuu.. umefurahi sasa
Lakini kulingana na utafiti uliofanywa mwezi wa nne mwaka huu ulionesha kuwa watu wengi wa mataifa ya ulaya na marekani wangependa kuja kuishi Tanzania kulingana na sera za CCM zinazovutia.Hata pro Russia, China wote wanatamani kuishi USA. Kwa hiyo tusidanganyane. Beberu USA ataendelea kututawala tu
haya sawa, Ukraine imeshinda vita, Ukraine imetwaa majimbo mengi tu ya Russia 🇷🇺 Umefurahi sasa 🫣Alisema ndani ya week tatu ataichukua Ukraine sasa vipi!? Kama unajui kiingereza fuatikia CNN tonight !!! IPO uck kuanzia SAA 7 uck!! Utajua ukweli achana namaneno ya vijiwen
Ondoa hao wanaokwenda kuhiji au kufanya biashara. Tunazungumzia watu wanaokimbia nchi zao kutokana na sheria mbovu za ukandamizaji zilizopitwa na wakati na kukimbilia nchi zenye demokrasia kuishi maisha ya amaniMnapenda kweli kudanganya kujipa Matumaini.
Hizi ni nchi zenye wageni wengi COMPARE na raia.
View attachment 2227443
Kwenye nchi 12, 9 ni za kiarabu na 3 ni Macau, Hong Kong na Switzerland.
Nchi kama UAe (Dubai huko) asilimia 88 ni wageni na 12 tu ndio wazawa.
Angalia Wachezaji mpira, viongozi wa siasa, wacheza Tenis, Majambazi, Mabilionea kibao wanaenda Dubai kupumzika.
Ukikuta Nchi za kiarabu/kiislamu zina wakimbizi wengi ni
1. Kuna Vita
2. Case ya ukoloni.
Na hivyo vita waanzilishi wakubwa Ni hao west.
Raia Wa Oman, Uae ama Saudi akienda tu kusoma Ulaya unakuta wanampa Offer ya Uraia, ila mwenzangu na mimi wewe nenda hata Visa Tabu.
Hata pro Russia, China wote wanatamani kuishi USA. Kwa hiyo tusidanganyane. Beberu USA ataendelea kututawala tu
Bongo sirudi ng'oooKabisa kwanza wanauliwa watu weusi, kukaa roho juu kisa Nini? Ninandugu yangu kule Texas, tukisikia Kuna mtu mweusi kapigwa risasi tunaanza kufatilia habari, kurud hataki nyumbani.
So what?...Hata pro Russia, China wote wanatamani kuishi USA. Kwa hiyo tusidanganyane. Beberu USA ataendelea kututawala tu
Bongo sirudi ng'ooo