Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi


HAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! IQ ndo hii yako? Bora nibaki mjinga! BE A MAN STOP WHINING LIKE A CRY BABY! I DARED YOU! I PURPOSELY DISRESPECTED YOU!!!!!!! YOU ARE A MAN RIGHT? WONT YOU DO SOMETHIN ABOU IT? EARN YOUR RESPECT ATLEAST FOR YOUR MAN HOOD!

Opppppppppppppsssssssssss I forgot our crybaby of man CANT DO SHIT ABOUT SHIT!!!!!!!!!!

There is nothin i enjoy like WALKIN ALL OVER A MAN! SO CALLED EDUCATED MAN!!!!!!!! I bet you live ningekuchapa mabao na ungerudi nyuma!

Go back to your Mama CRY BABY!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
"Lara 1 achama na wazushi hao, ebu tuendelee na somo letu.
Sawa hatukatai criticism, ila naona uyu jamaa "THECHANCE anaanza kuleta personal issues ambazo hazina tija hapa.
 

GOODBYE lara 1 NAJISHUSHIA HADHI YANGU KUENDELEA KUJIBIZANA KIMIPASHO ....... SIO HULKA YANGU MAANA SIJAZOEA!!!!!!

kila la kheri na mtazamo wako ...... ukipata 10ml zungusha usijenge, usinunue kiwanja utapata 300mln, sawa eeehhh umeridhika sasa, maana naona unatokwa mapovu as if nimekuzuia kufanya unachotaka!!!!

Again goodbye!!!!
 
Last edited by a moderator:

Dude thanks a lot kwa mchango wako! Usije kumjibu shosti wangu hapo chini! Yaani ukishaona Mwanaume mzima na akili zake anachambana na mwanamke hazarani kama hapa jamvini tena mchana kweupe jua akili zake haziko sawa kabisaaaa!

Usikubali akuhamishie aibu yake! Watu hawatokuelewa kabisaaaa! RUN BOY! RUN!
 

True naona sasa hv imekuwa mipasho badala ya kuelimishana aisee...me ngojea nisome tu comments
 

HAHAAAAAAAAAAAAAAAA! USTHIKIMBIE WEWE! YOU ASKED FOR IT! TOLD YA NACHEZA NAMBA ZOTE! Corporate, Uswazi, civilizied! like i told you WHO I AM HIGLY DEPENDS ON WHO YOU ARE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sasa hujishangai watu wote wewe tu ndo nimekuchamba ukachambika???????? Hahaaaaaaaaaaaa!

Wewe huwezi kunipepesesha kope ya jicho langu itakuwa povu! HAHAHAAAAAAA! Usichekeshe walionuna! I DARED YOU LIVE BILA CHENGA! Naona umeona huna la kufanya na kuamua ku Exit mchuano kwa style ya KUJIVICTIMISE!!!!!!!!! Ungejua ustaarabu mali usingenianza! Jiangalie!
 
Reactions: mzm

Kama ulizaliwa jijini Dar Es salaam kati ya mwaka 1985 -1988, basi hapana shakautakuwa ni mtoto wa nje wa baba yangu mzazi, coz kipindi hicho alikuwa pale ud anasotea degree yake. Haiwezekani mtoto wa kike ambaye sio mbegu ya baba yangu mzazi awe na mawazo yaliyo kwenda shule kama yako...Nimefurahi sana.
 
"Lara 1 achama na wazushi hao, ebu tuendelee na somo letu.
Sawa hatukatai criticism, ila naona uyu jamaa "THECHANCE anaanza kuleta personal issues ambazo hazina tija hapa.

NISAMENENI KWA MUDA WADAU!!!!!!!!!!1 Ujue kuna watu bila kuwa displini watakushika hata sehemu zisizotakiwa! Sasa ukinyamaza wanaona kama unawaogopa kumbe umeignore, wakindelea nawapa kinachowawasha afu wanatulizana kwa adabu! Hali inakuwa shwari tena kuendlea! Akija namnyoosha na kumgalagaza tena! Mtoto mdogo hawezi kutusmbua na kutukata stimu watu wote.

Samahanini kwa usmbufu na kero yoyote iliyojitokeza. Turudi kwenye Mkurabita!!!!!!!!!!
 

HAHAAAAAAAAAAAAAA! Taratibu dingi yangu asisikie! Hali haitokuwa shwari!
 
THECHANCE SIHITAJI KUWA NA ELIMU YA NGAZI YA CHETI KUONA TOFAUTI KUBWA KATI YAKO NA LARA1.. wewe ni muhadhirika mkubwa wa elimu ya kukariri vitabu kama unayoandika unamaanisha otherwise labd iwe kwa sababu ya kuongeza utamu kwenye mada hii..
Ninapata shida sana kwa vijana waliomaliza chuo kikuu cha kilimo kwenda kuwa bank teller au customer care kwenye makampuni ya simu..
NA WENGI WANAOFIKIRIA MAISHA YA KIMASKINI( nijenge nyumba na niwe na usafiri) WANAONGOZA KWA KULAUMU SERIKALI WAKATI WATU WENGINE KWENYE HAYO HAYO MAZINGIRA WANA MAKE..
elimu ya darasani itusaide na isiwe nira ya kutufunga na kutuogopesha kufanya mambo


 
Ni kweli kabisa ulichokisema. Watz wengi tunakimbilia Liability badala ya kuinvest ktk asset zinazoweza kuzalisha. For more detail namna ya kuinvest pitia kitabu cha Robert Kiyosaki "Rich Dad Poor Dad"
huyu Kiyosaki nasikia keshafilisika
 
Lara 1 nimekuwa sikubaliani na posts zako nyingi hasa zinazohusu mapenzi na kuonekana zinatetea immorality..!!!.
Ila post yako hii imenikuna sana. Unayosema ni kweli kabisa na mimi binafsi tangia mwaka huu nimekuwa nikitafari the most sensible way of investing my savings (and even loans) na nimekuwa na uelekeo kama wako. It is a very smart idea not to build a house out of one's savings instead of profits. The simpe reason is you may never be able to recover money you sink into your house (through renting out) within one's average lifetime. A house is a very long term investment and you cannot expect to live off a 300,000 a month rent once you retire!!.
The best way is to invest your savings into a well researched business enterprise, and use your profits to build slowly while expanding and diversifying your business.
It is pathetic you hear people clinging to 'white color' employment which puts a cap to how much you can/will earn during your lifetime. Come on Tanzanias, if you real want financial independence and success, that will not come by being employed somewhere..employment should be used to get the necessary initial capital but the aim should be private enterprise.
Watanzania tukibaki na mawazo mgando wa kijamaa wa 'mfanyakazi' tutabaki tunalalamika maisha magumu while foreigners are coming in, and grabbing all the oportunities..

Tutafakari... BIG up LARA 1...I think this is one of the most productive threads..
 
zakaria halipi kodi kama inavyopasa, kwanza tin yake iko zanzibar.
 
Ukipewa 10m utafanya biashara gani ifike 100m? Tupe mfano halisi

Biashara mara nyingi inategemea eneo ulipo. 10m uki invest kwenye kilimo cha mpunga msimu mmoja una ukafanya forward intergration utapata faida ya 25m per year. So, location is extremely important in the world of business investment. Uki reinvest hiyo 25m plus ur original invested capital, msimu unaofata utakuwa na 100m. Just 2 to 3 yrs 10m can turn into 100m. Just be real and serious. Bt remember "do or dont do, there is no opportunity to try". If u try, u may end up geting loss
 
Igweeeeee.!!!
Tupe hizo link za posts zako tuchimbue hayà mapesa tukapandikize yazaane kwenye bizness..mwaga mwaga hayo mambo tuyazoe kina sie wenyye uchu wa kuzungusha mahela..
 

Kaka/dada sirghanam nadhani ni Mitazamo tu lakini sijuhi kwa nini labda unashindwa kumuelewa THECHANCE, Hoja aliyoiweka Lara1 nj applicable sana lakini ukiichambua kiundani ni hoja ama theory ambazo zinaweza kuwa applicable kwa baadhi ya nchi Tanzania ikiwa SI MIONGONI MWAZO,

Kwa nchi zilizoendelea suala la nyumba sio pasua kichwa kabisa na mtu unakuwa huna sababu ya kukimbilia kwenye nyumba, pia system za uchumi na Na uwezeshwaji wa kibiashara kupitia mabenki na financial instution zingine zipo open na zina fursa sawa kwa wote
kwa Tanzania hali sio hivyo kabisa, kwa Tanzania nyumba/Ardhi ni pasua kichwa, hebu chukulia mfano tu wa kariakoo ambako kiwanja kinafika mpaka bilioni moja, ni pesa ambazo kwa nchi kwa hiyo pesa unapata nyumba ya maana na wala sio kiwanja
Asilimia kubwa ya biashara zinazofanywa Tanzania sio halali, kwa maana kuna ukiukwaji mkubwa sana wa kulipa kodi, kwa biashara ya halali kabisa ni vigumu kurise to 300mil from 10mil unrest uingie kwenye dhuruma, illegal business au ukwepe kodi
 
Last edited by a moderator:
Umesema kitu ya kweli kabisa... kuna rafiki yangu mmoja namnukuu "kujenga ni uoga wa maisha" nyumba ziko kibao..zungusha fedha kwanza....the uwekeze huko...

wengi wanakimbialia kujenga,, halafu kumalizia zinawashinda kabisa....
 

Kaka watu wengi wako mistaken sana, wakisikia Bill Gates droped out of college wanampigia mahesabu atakuwa mweupe.

Bill Gates, Warren Buffet, Michael Dell hawa watu ni nondo usisikie.

Wako so knowledgeable and they are great Minds, husimami nao hata dakika moja.

Business needs brains na kuwa smart kurun no shortcurt
 
Watgu wa real estate wangetusaidia mawazo hapa ingekuwa poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…