Acha kudanganya watu,sio kila mtu afanye biashara bwana,biashara ya kuinvest kwenye majumba,viwanja(real estate) inalipa kinoma,sio kila mtu akipata hyo mil 10 aanze kuwa mchuuzi,maana bishara unazozungumzia wewe ni za kwenye kununua malonyalonya thailand au china na kuja kuyauza!!! Anachotaka
lara 1 ni kwamba anawazubaisha watu hapa ili mtu akipata tu emu kumi avizungushe kwenye biashara hili amchune lakini mtu akinvest kwenye ujenzi hawezi chunika kirahisi..So watu wangu wa nguvu jengeni bwana msimsikilize huyo,mfano mie nilinunua kiwanja kwa 3m mwaka 2013 leo kinafikia thamani ya 20m ndani ya miaka mi3,ebu niambie bishara gani ambayo inauweza wa kukuingizia faida apprx 6m kwa mwaka? 17,000/= kwa siku? Biashara gani hyo? sitoingiza hela yangu kwenye vibiashra vya uchuuzi hata siku moja nawekeza kwenye tangible things,kuna watu walifanya kama unavyowachuza leo hii wanaemea pua moja hela ya mkopo yote ilikata wakaishia kuwa na mideni tu bank pamoja na mtaani