Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Pesa wamrudishie kwa kweliAcha tu mpk nimemuonea huruma bwana harusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa wamrudishie kwa kweliAcha tu mpk nimemuonea huruma bwana harusi
Aaah we nawe, sio mpk nieleze vyote. Fupi fupi ivyo ivyo utaelewa tu 😆😆... Daktari km mtu mjamzito anaelewa bhn, kwani si walienda pima magonjwa yote km wako safi?. Maana baba mkwe aligoma mwanae asiolewe mpk wapime miili yao. Hii sio chai mkuu, imetokea siku chache tu zilizopita...Yani sare niliyonunua nitaivaa tu wkt mwengine.Yaani sijaelewa...
Daktari anapima HIV halafu majibu yanatoka ya HIV na Preginancy!!!
Aaah we nawe, sio mpk nieleze vyote. Fupi fupi ivyo ivyo utaelewa tu 😆😆... Daktari km mtu mjamzito anaelewa bhn, kwani si walienda pima magonjwa yote km wako safi?. Maana baba mkwe aligoma mwanae asiolewe mpk wapime miili yao. Hii sio chai mkuu, imetokea siku chache tu zilizopita...Yani sare niliyonunua nitaivaa tu wkt mwengine.
Usikute mwenye mimba ni baharia tu alitaka kumchezea bs. Hana ata Nia ya kumuoa. Ila ndo ivyo tu watu tunashindwa kuvumiliamwenye miba amuoe huyo binti kwa maandalizi hayohayo yaliofanyika yaani abadilishe tu bwana harusi vingine vyote vibaki constant.
Chai Mbovu Sana Hii Kuwahi Kutokea JF Kwa 2022Elewa hivyo hivyo bhana weweee
Hata kama chai ina chumvi...ivumilie,haiwezi kuku-kill
Wanajukwaa, hii kitu imetokea uku kwetu mtaani, mahusiano yavunjika siku chache kabla ya kufungishwa ndoa... Jamaa na bibie wanafanya Kazi mikoa tofauti, sasa wamerudi Ili wafunge ndoa takatifu Ili wawe rasmi, mke na mume. Sasa ndugu wa mke wakamuuliza bibie, vipi mmeshapima HIV na mumeo mtarajiwa?. ..Binti akajibu hapana.
Itabidi waitwe Mume mtarajiwa na mke mtarajiwa, Ili wapelekwe kupima, maana baba mkwe aligoma mwanae asiolewe mpk wote wajue afya zao. Apo ikumbukwe mahali ilishatolewa ya kutosha, cash. Upande wa mme washanunua kila kítu cha shughuli, washakodi ukumbi, washafanya maandalizi yote, sare ishatembezwa na majirani kualikwa.
Baada ya kufika hospitali, wakachukuliwa vipimo, na majibu yalipotoka....wote mambo ni safiiiiii kbs...familia ikafurahi. Asa Dkt akasema "aah hongera bhana maana umeshaweka kitu tumboni muda si mrefu utaitwa baba, mchumba ana mimba mIEzI ". Jamaa alitoa macho hatari, unasemaje?. Itabd ndugu waulize kwani mzigo sio wako baba?. Jamaa akasema muulizeni mtoto wenu aseme iyo mimba ni ya nani, maana mimi nna miez nae 6 sijawah shiriki nae tendo, na ata baada ya kurudi apa, mtt wenu alinilazimisha sana twende tukafanye tendo lkn Mimi niligoma katakata nikamwambia tusuburie ndoa ipite bs tutafanya kwa uhuru. Binti akasema ni kweli mimba siyo ya jamaa, akaanza lia aliomba msamaha eti bd anampenda mumewe mtarajiwa.
Yani mpk ss binti anatishia kujiua, ndoa jamaa kaikataa, Yani mihela yote ile imepotea. Nimejisikia vby kwa kweli , Dunia hii usiombe likukute jambo kama hili. Ama kweli usaliti mbaya. Ingawa wengine wanamshauri eti amuoe ivyo ivyo atakwenda kulea mimba na mtoto awe wake.
Inaonesha jinsi gani wabongo hatuna ufahamu mkubwa wa haya mambo ya uzazi .Wanajukwaa, hii kitu imetokea uku kwetu mtaani, mahusiano yavunjika siku chache kabla ya kufungishwa ndoa... Jamaa na bibie wanafanya Kazi mikoa tofauti, sasa wamerudi Ili wafunge ndoa takatifu Ili wawe rasmi, mke na mume. Sasa ndugu wa mke wakamuuliza bibie, vipi mmeshapima HIV na mumeo mtarajiwa?. ..Binti akajibu hapana.
Itabidi waitwe Mume mtarajiwa na mke mtarajiwa, Ili wapelekwe kupima, maana baba mkwe aligoma mwanae asiolewe mpk wote wajue afya zao. Apo ikumbukwe mahali ilishatolewa ya kutosha, cash. Upande wa mme washanunua kila kítu cha shughuli, washakodi ukumbi, washafanya maandalizi yote, sare ishatembezwa na majirani kualikwa.
Baada ya kufika hospitali, wakachukuliwa vipimo, na majibu yalipotoka....wote mambo ni safiiiiii kbs...familia ikafurahi. Asa Dkt akasema "aah hongera bhana maana umeshaweka kitu tumboni muda si mrefu utaitwa baba, mchumba ana mimba mIEzI ". Jamaa alitoa macho hatari, unasemaje?. Itabd ndugu waulize kwani mzigo sio wako baba?. Jamaa akasema muulizeni mtoto wenu aseme iyo mimba ni ya nani, maana mimi nna miez nae 6 sijawah shiriki nae tendo, na ata baada ya kurudi apa, mtt wenu alinilazimisha sana twende tukafanye tendo lkn Mimi niligoma katakata nikamwambia tusuburie ndoa ipite bs tutafanya kwa uhuru. Binti akasema ni kweli mimba siyo ya jamaa, akaanza lia aliomba msamaha eti bd anampenda mumewe mtarajiwa.
Yani mpk ss binti anatishia kujiua, ndoa jamaa kaikataa, Yani mihela yote ile imepotea. Nimejisikia vby kwa kweli , Dunia hii usiombe likukute jambo kama hili. Ama kweli usaliti mbaya. Ingawa wengine wanamshauri eti amuoe ivyo ivyo atakwenda kulea mimba na mtoto awe wake.
Kwahiyo siku hizi ukienda hospital kupima HIV wanakupima na mimba?Wanajukwaa, hii kitu imetokea uku kwetu mtaani, mahusiano yavunjika siku chache kabla ya kufungishwa ndoa... Jamaa na bibie wanafanya Kazi mikoa tofauti, sasa wamerudi Ili wafunge ndoa takatifu Ili wawe rasmi, mke na mume. Sasa ndugu wa mke wakamuuliza bibie, vipi mmeshapima HIV na mumeo mtarajiwa?. ..Binti akajibu hapana.
Itabidi waitwe Mume mtarajiwa na mke mtarajiwa, Ili wapelekwe kupima, maana baba mkwe aligoma mwanae asiolewe mpk wote wajue afya zao. Apo ikumbukwe mahali ilishatolewa ya kutosha, cash. Upande wa mme washanunua kila kítu cha shughuli, washakodi ukumbi, washafanya maandalizi yote, sare ishatembezwa na majirani kualikwa.
Baada ya kufika hospitali, wakachukuliwa vipimo, na majibu yalipotoka....wote mambo ni safiiiiii kbs...familia ikafurahi. Asa Dkt akasema "aah hongera bhana maana umeshaweka kitu tumboni muda si mrefu utaitwa baba, mchumba ana mimba mIEzI ". Jamaa alitoa macho hatari, unasemaje?. Itabd ndugu waulize kwani mzigo sio wako baba?. Jamaa akasema muulizeni mtoto wenu aseme iyo mimba ni ya nani, maana mimi nna miez nae 6 sijawah shiriki nae tendo, na ata baada ya kurudi apa, mtt wenu alinilazimisha sana twende tukafanye tendo lkn Mimi niligoma katakata nikamwambia tusuburie ndoa ipite bs tutafanya kwa uhuru. Binti akasema ni kweli mimba siyo ya jamaa, akaanza lia aliomba msamaha eti bd anampenda mumewe mtarajiwa.
Yani mpk ss binti anatishia kujiua, ndoa jamaa kaikataa, Yani mihela yote ile imepotea. Nimejisikia vby kwa kweli , Dunia hii usiombe likukute jambo kama hili. Ama kweli usaliti mbaya. Ingawa wengine wanamshauri eti amuoe ivyo ivyo atakwenda kulea mimba na mtoto awe wake.
Binti anatishia kujiua, anasema bado anampenda. Eti aliteleza tuHata kama zimebakia dakika chache sana kabla ya ndoa kufungwa, ukigundua mwenzake hakufai basi piga chini hapo hapo. Hakuna kumuhurumia mtu, kila mtu apambane na hali yake.
Hata kama zimebakia dakika chache sana kabla ya ndoa kufungwa, ukigundua mwenzake hakufai basi piga chini hapo hapo. Hakuna kumuhurumia mtu, kila mtu apambane na hali yake.
Nimeshangaa piaYaani sijaelewa...
Daktari anapima HIV halafu majibu yanatoka ya HIV na Preginancy!!!
Mkwe kunywa taratibu naleta maandazi soon.Yaani sijaelewa...
Daktari anapima HIV halafu majibu yanatoka ya HIV na Preginancy!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naomba na chapati mbili.....