Waachana siku tatu kabla ya ndoa

Waachana siku tatu kabla ya ndoa

Naomba na chapati mbili.....
Nakusogezea kabisa, ushindwe mwenyewe🤣
images (54).jpeg
 
Hata kama zimebakia dakika chache sana kabla ya ndoa kufungwa, ukigundua mwenzake hakufai basi piga chini hapo hapo. Hakuna kumuhurumia mtu, kila mtu apambane na hali yake.

Wenza karibu wote hawafaani..kama mimi siku nafunga ndoa nilikua nimenuniana na mke wangu..yani tena full kukorofishana..na hii inatokea kwa wengi tu..
Nilikua nna gari yangu nakodisha maharusi,weekend nlikua naendesha mwenyewe niliona couples nyingi sana zinazinguana sana siku ya harusi..na wanaonesha tu..
 
Bora ata iyo...lakini mzigo wa mtu mkuu siyo mchezo.
 
Back
Top Bottom